July 1, 2024

Jinsi ya kuukabili unyanyapaa wa COVID-19

Ni kuwa na taarifa sahihi za COVID-19 na kuwasaidia wenye ugonjwa huo kwa kuwapatia vifaa vya kujikinga na kuwapa moyo kuwa watashinda.

Dar es Salaam. Unataka kuushinda unyanyapaa wa ugonjwa wa COVID-19? Ni kuwa na taarifa sahihi za COVID-19 na kuwasaidia wenye ugonjwa huo kwa kuwapatia vifaa vya kujikinga na kuwapa moyo kuwa watashinda.