October 7, 2024

Jinsi ya kuzungumza na watu wasiotaka chanjo ya Corona

Hatua ya kwanza ni kukubali mashaka na hofu waliyonayo kuhusu mstakabali wa maisha yao baada ya kutumia chanjo.

Dar es Salaam. Hatimaye mapambano dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona yamefikia hatua nzuri. Mataifa mbalimbali yanaendelea na utengenezaji wa chanjo huku baadhi yakiwemo Uingereza tayari yameanza kutumia chanjo zake ili kuwakinga watu na maradhi hayo. 

Mapokeo ya chanjo hiyo kwenye jamii yatakua tofauti. Baadhi ya watu, huenda wasikubali kabisa kuitumia kutokana na mashaka waliyonayo. Unawezaje kuzungumza na watu wa namna hiyo? Fuata hatua hizi: