September 29, 2024

Kwa nini uchukue tahadhari baada ya kupata chanjo ya Corona

Sababu kubwa ni kuwalinda wanaokuzunguka.

Dar es Salaam. Kwa nini unashauriwa kuendelea kuchukua tahadhari baada ya kupata chanjo ya Corona? Sababu kubwa ni kuwalinda wanaokuzunguka.