September 29, 2024

Kwa nini unasisitizwa kuvaa barakoa?

Ni njia rahisi ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Uviko-19 hasa kwenye mikusanyiko ya watu.

Dar es Salaam. Kwa nini unasisitizwa kuvaa barakoa? Ni njia rahisi ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Uviko-19 hasa kwenye mikusanyiko ya watu.