October 7, 2024

Maeneo yanayotakiwa kupewa kipaumbele kuepuka Corona

Ni pamoja na nyumbani, ofisini na katika vyombo vya usafiri

Dar es Salaam. Utaratibu wa kusafisha sehemu zinazofikiwa na watu wengi kwa kutumia dawa maalum ya kuua wadudu ni muhimu ili kuwakinga watu na maambukizi ya COVID-19.

Baadhi ya maeneo yanayotakiwa kusafishwa zaidi ni yale yanayowakutanisha watu kutoka katika maeneo tofauti. 

Kufahamu sehemu hizo kiundani zaidi, tazama video hii.