October 6, 2024

Mikoa 10 inayoongoza uzalishaji wa mchele Tanzania bara

Mkoa wa Morogoro ndiyo kinara wa uzalishaji wa zao hilo ukifuatiwa na Mbeya, Tabora na Shinyanga.