November 24, 2024

Namna ya kuripoti kwa usahihi habari za Corona

Waandishi wa habari wanatakiwa kuripoti habari za Corona kutoka vyanzo vya uhakika ili kuepuka kupotosha.

Dar es Salaam. Ili utoaji wa chanjo dhidi ya COVID-19 upate mafanikio unahitaji wadau mbalimbali zikiwemo taasisi za afya kutimiza wajibu wake. Lakini waandishi wa habari nao wana sehemu yao katika kutoa habari sahihi kuhusu chanjo hiyo. 

Hizi ni baadhi ya dondoo zinazoweza kuwasaidia wakati wakiripoti kuhusu chanjo ya COVID-19: