October 7, 2024

Nguvu ya maji mapambano dhidi ya COVID-19

Kukosekana kwa huduma ya maji kwenye vituo vya afya inaongeza uwezekano wa watu kupata COVID-19.

Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), watu bilioni 1.8 wako katika hatari ya kupata COVID-19 kwa sababu baadhi ya vituo vya afya duniani havina huduma ya maji.