October 7, 2024

Njia mbadala za kusalimiana kujiepusha na Corona

Njia hizo ni pamoja na kusalimiana kwa kugonganisha viwiko, makalio na kupiga saluti.

Dar es Salaam. Ni ukweli kuwa kutoshikana mikono au kugusana ni njia mojawapo ya kuepuka maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19), lakini watu wasisalimiane? 

Hapana, watu wanaweza kuendelea kusalimiana kwa njia tofauti hasa na wageni wanaotoka nje. Ili kuendelea kujikinga na janga hilo, Tumia njia hizi kusalimiana na mtu wa karibu yako: