Rais Magufuli awaongezea nguvu watendaji kata Tanzania
Awataka kutembea kifua mbele na asiwepo mtu wa kuwanyanyasa kwenye ngazi za utendaji wao.
Awataka kutembea kifua mbele na asiwepo mtu wa kuwanyanyasa kwenye ngazi za utendaji wao.
Wakati wanamuziki wa kike wa nchi za magharibi mwa Afrika na nje ya bara hilo wakipasua anga la kimataifa kwa kazi za muziki, wenzao wa Tanzania wana kibarua kigumu kuelekea katika anga za kimataifa
Apps hizo zinawarahisishia wasafiri na kuwafanya wajisikie vizuri wawapo safarini.
Vitaanza kutangazwa katika mtandao huo wa China Septemba mwaka huu ili kuongeza mapato na idadi ya watalii wanaokuja kutembelea Tanzania.
Ni basi ambalo lina vifaa tiba na madaktari wabobezi litakalokuwa linatoa huduma za afya katika maeneo yasiyo na vituo vya afya katika mkoa huo.
Baada ya siku tano mfululizo za kazi, unastahili mapumziko ambayo yatachangamsha mwili na akili yako.
Youtube imeahidi kuondoa maudhui yoyote yatakayokuwa na chembe za kukiuka vigezo na masharti yao.
Amazon ni msitu mkubwa duniani na unachangia asilimia 6 ya hewa ya oskijeni duniani kote huku ukiwa na mabilioni ya miti na mamilioni ya viumbe hai.
Programu hiyo inayokusudia kuongeza kasi ya uchakataji, usambazaji na utoaji wa taarifa za hali ya hewa.
App hiyo itaitwa “Threads” ikifanya kazi kama ilivyo Messenger kwa Facebook kwa sasa.
Hakuna Mtanzania yeyote anayestahili kufariki kwa ajali za barabarani zikiwemo za uzembe wa bodaboda.
Hivi karibuni, mtandao huo umezindua mfumo mpya (tool) ya mawasiliano utakaotumiwa na mamlaka za Serikali za mitaa duniani kuwasiliana na kutoa taarifa za maendeleo kwa wananchi wa maeneo yao kwa urahisi na haraka.
Ujenzi wa mji mkuu huo unatarajiwa kuanza mapema mwaka 2021 na kukamilika mwaka 2024 ili kuchukua nafasi ya uliopo sasa wa Jakarta ambao umeanza kuzama.
Ameiomba kampuni ya Toshiba ya nchini Japan ifungue ofisi na kuwekeza katika viwanda nchini Tanzania.
Imewekeza kiasi hicho kwenye mvinyo na pombe kali aina ya “spirit” ambazo zitatumika kwenye ndege zake hasa daraja la kwanza na la biashara.
Wiki tatu baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya Rayvanny atoe remix ya wimbo wake wa “Tetema”, msanii huyo amejikuta akiingia kwenye hasara nyingine baada ya Serikali ya Kenya kuufungia w
Amesema sakata la kuungua kwa msitu wa Amazon ni jambo linalohitaji kuangaziwa na jumuiya za kimataifa ili kulinda msitu huo ambao ni muhimu kwa maisha ya binadamu.
Makosa hayo ni pamoja na kughushi, kutengeneza fedha bandia na wizi wa fedha kwenye benki na mashirika ya umma.
Ni aliyekuwa Mwanamuziki wa Cape Verde, Cesária Évora maarufu kama “Barefoot Diva” ambaye alipendelea kupanda jukwaani bila kuvaa viatu.
Amesema foleni ya magari Jijini Dar es Salaam ni fursa ya kusoma vitabu kwa mtu akiwa kwenye gari badala ya kuperuzi mitandao ya kijamii kama WhatsApp.