Maagizo matano ya Magufuli kukuza uchumi wa viwanda nchi za SADC
Amezitaka nchi wanachama kuwekeza zaidi kwenye teknolojia rahisi ya viwanda na kukuza ubunifu wa wananchi.
Amezitaka nchi wanachama kuwekeza zaidi kwenye teknolojia rahisi ya viwanda na kukuza ubunifu wa wananchi.
Amesema vitasaidia kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa soko la uhakika wa zao hilo.
Wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora katika ukusanyaji wa taarifa ili kuiwezesha Serikali kupata takwimu sahihi kubaini mahitaji na changamoto za sekta hiyo.
Ana miaka 23 na anamiliki kampuni ya J Sisters inayoendesha miradi ya kiuchumi zaidi ya mitano.
Mambo ya kuepuka ni pamoja na kujiwekea matumaini makubwa na kufanya kazi peke yako.
Yapanda miti zaidi ya milioni 350 kwa saa 12 na kuvunja rekodi ya dunia iliyoshikiliwa na India tangu mwaka 2016.
Hafla ya mapokezi ya tausi hao imefanyika katika Ikulu ya Nairobi, Kenya.
Bidhaa hizo ambazo uzalishaji wake umeongezeka kwa kipindi cha mwaka mmoja ni bia, saruji, unga wa ngano, vinywaji baridi, mafuta ya kula na sukari.
Tayari imetoa mafunzo kwa wafanyakazi na majaribio ya ndege na kusaini mikataba na watoa huduma mbalimbali.
Ameagiza jengo hilo alilozindua leo litunzwe ili kuepusha uharibifu. Pia ameitaka Wizara ya Ujenzi kuwapata kipaumbele wazawa kutokana na fursa za uwekezaji zitakazopatikana.
Amesema kwa muda mrefu yamekuwa hayatumiki na kuzuia wawekezaji na wakulima kufaidika na kilimo cha zao.
Kipengele hicho kiko kwenye majaribio na kikamilika kitawapa uhuru zaidi watumiaji wa mtandao huo kupanga picha watakavyo.
Aagiza vyoo hivyo vinavyotumiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terninal 2 jijini Dar es Salaam vibadilishwe haraka.
Mashirika hayo ya ndege barani Afrika yanafanya kila jitihada za kuingia katika miji mbalimbali ya nchi hiyo.
Idara ya Uhamiaji imesema itaendelea kumshikilia na kumuhoji ili ipate taarifa sahihi za uraia wake.
Mifumo hiyo ni pamoja na matumizi ya kadi za malipo, kadi za benki na hundi.
Ni kupatiwa mafunzo ya kuwawezesha kuanisha fursa zinazowazunguka ili wajiajiri.
Anataka kuona wanasoma hadi chuo kikuu ili warudi katika wilaya yao kuleta Maendeleo.
Yasema hakutekwa bali alikamatwa na polisi na anashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi kwa ajili ya mahojiano kuhusu uraia wake.
Ni wale wanaotumia mifuko ya NHIF na CHF iliyoboreshwa. Idadi yao imeongezeka kutoka asilimia 20 mwaka 2015 hadi asilimia 33 mwaka 2019.