Rais Kenyatta kuzuru Chato kwa mwaliko wa Magufuli
Atawasili Ijumaa Julai 5 katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais John Magufuli.
Atawasili Ijumaa Julai 5 katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais John Magufuli.
Kicheko ni kwa wawekezaji wa benki ya KCB, wakati wa Acacia, NMG na EABL watalala na maumivu baada ya thamani ya hisa za kampuni hizo kushuka kwa viwango tofauti.
Waziri huyo wa Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora amesema inakwamishwa ukuaji wa uchumi na miradi ya maendeleo.
Amesema viwanda hivyo vitakuwa vinatumia malighafi za kilimo ili kuwafaidisha wakulima wa Tanzania.
Tofauti hiyo inajitokeza hasa katika maeneo ya mijini ambayo kaya zake zimeunganishwa kwa asilimia 63.2 na huku vijijini ikiwa ni asilimia 29.1.
Ni Michael Joseph, aliyewahi kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo kati ya mwaka 2000 hadi 2010, anayechukua nafasi ya Bob Collymore aliyefariki Julai mosi.
Waliokuwa wanamiliki redio mwaka 2011/2012 walikuwa asilimia 55 kabla ya kushuka hadi kufikia asilimia 43 mwaka 2017/2018.
Ripoti mpya ya mapato na matumizi katika kaya inaonyesha umaskini wa mahitaji muhimu umepungua kutoka asilmia 28.2 mwaka 2011-2012 hadi asilimia 26.4 mwaka 2017-2018.
Ni ya kodi mpya, zilizofutwa, zilizopunguzwa na zilizopata msamaha ambazo zinaanza kutumika leo (Julai 1,2019) mwaka mpya wa fedha.
Ni Afisa Mtendaji Mkuu, Robert (Bob) Collymore aliyeanza kupata matibabu tangu Oktoba 2017.
Inakua nchi ya nne katika jumuiya ya Afrika Mashariki kutoa pasipoti hizo kwa raia wake.
Bodi hiyo itakuwa na wataalam mbalimbali kwa ajili ya kufuatilia maamuzi ya uhariri wa maudhui ya mtandao huo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa bajeti hiyo unategemea nidhamu na utashi wa viongozi na wananchi.
Asema ubunge wa mbunge huyo machachari umekoma baada ya kuvunja masharti ya katiba ya kutooneka bungeni bila taarifa na kutojaza fomu ya maadili ya mali na madeni.
Unawaunganisha wakulima ili kutatua changamoto za kilimo bila kuhitaji maafisa ugani.
Shirika la Ndege la Tanzania leo imeanza rasmi safari zake kutoka Tanzania hadi katika jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege aina ya Airbus 220-300.
Anatarajia kufungua kampuni ya usanifu ya LoveFrom itakayokuwa inasimamia miradi mbalimbali ya ubunifu.
Mapato hayo yameongezeka kwa asilimia 15.1 hadi kufikia Sh34.3 milioni mwaka jana kutoka Sh29.7 milioni mwaka 2017.
Uwekezaji huo umefanyika kupitia taasisi yake ya Vodacom Tanzania Foundation kati ya mwaka 2014 na 2017 katika sekta za kilimo, afya na elimu.
Thamani ya hisa za kampuni hizo zimeshuka kwa viwango tofauti. Wawekezaji wa Kenya Airways wamepoteza Sh5 huku wa Acacia wakipoteza Sh200 kwa kila hisa moja iliyouzwa sokoni.