Dk Mpango – Wastani wa pato la kila mtu waongezeka Tanzania
Amesema wastani wa pato la kila mtu uliongezeka kwa zaidi ya Sh130,000 mwaka 2018.
Amesema wastani wa pato la kila mtu uliongezeka kwa zaidi ya Sh130,000 mwaka 2018.
Ripoti mpya iliyotolewa na NBS inasema asilimia 55 ya Watanzania hawana nyaraka zinazothibitisha kuwa wanamiliki ardhi au makazi.
Ni Mwenyekiti, wajumbe wawili wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni hiyo na Ofisa Mkuu wa Ufundi (CTO).
Katika maboresho hayo, kutakuwa na huduma ya kukubali au kukataa wito kwenye tukio, kujaza maswali, kujibu maoni, na orodha za kuvinjari (browsing catalogs).
TanTrade imeeleza kuwa wakati wa maonyesho hayo wafanyabiashara wenye mambo yanayowasumbua kuhusu vibali, masoko, mitaji na usajili wa biashara watapatiwa suluhu.
Ni wananchi wa kata ya Alaitole wilayani Ngorongoro ambao walizuiwa kwa muda mrefu kutekeleza ujenzi huo kutokana na mgogoro uliokuwepo na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Serikali ipo tayari kuwapokea na kuwapa ushirikiano wawekezaji kutoka katika nchi hiyo ili waje kuwekeza katika sekta mbalimbali zikiwemo za viwanda, kilimo, madini na utalii.
Amesema wawakilishi wa kampuni hiyo walikuwa hawayumbishwi na walisimamia walichokiamini, licha ya kuwa maridhiano yamefikia hatua nzuri.
Imeongeza kipengele cha kupima kasi ya mwendo anayotumia mtu wakati akiendesha gari (Speedometer).
Amesema walishindwa kuwajibika katika nafasi zao ikiwemo kusimamia ukusanyaji wa kodi na uuzaji wa korosho.
Ni lazima kujua ufanisi na ubora wa vifaa vyote vitakavyofungwa kwenye mradi husika, uimara na kudumu kwake.
Ametengua uteuzi wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere na nafasi zao zimechukuliwa na watu wengine.
Baadhi ta masharti hayo ni kuwa Serikali haitaruhusiwa kuendeleza bandari yeyote ukanda wa pwani na hautoruhusiwa kukusanya mapato.
Ofisi hiyo imekabidhiwa mfumo huo ambao utasaidia katika usajili, upangaji na ufuatiliaji wa mashauri kwa urahisi.
Matumizi ya vifaa vya kidijitali kama kompyuta, simu janja na upatikanaji wa intaneti katika eneo utakalofikia ni muhimu kwa ajili ya shughuli zako.
Yaagizwa kutumia njia za kisasa za mawasiliano na mbinu rahisi kutangaza vivutio vya utalii ikiwemo kuwaleta nchini watu mashuhuri duniani.
Amewataka waislamu wote nchini kutenda matendo mema pamoja na kuwakumbuka yatima na wajane.
Kwa sasa iTunes itagawanywa katika programu tumishi (Apps) tatu za video, muziki na muziki wa mtandaoni.
Onyesha furaha kwa wengine hasa wenye uhitaji katika jamii huku ukitenga muda wa kukaa na familia yako.
Kozi zitakazopewa kipaumbele zaidi ni pamoja na ualimu wa sayansi, programu za uhandisi na sayansi ya afya.