TTCL kuachana na minara ya simu ya kukodi
Hatua hiyo inakuja baada ya Rais Magufuli kuagiza Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu ya minara kwa kampuni hiyo ya simu inayomilikiwa na Serikali.
Hatua hiyo inakuja baada ya Rais Magufuli kuagiza Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu ya minara kwa kampuni hiyo ya simu inayomilikiwa na Serikali.
Amejikuta akiipoteza fursa ya kuuliza swali kwa mara ya kwanza baada ya kupewa nafasi na kuishia tu kutoa shukrani kwa kupata nafasi ya ubunge.
Waziri wa Maliasili na Utalii amesema matokeo ya awali ya utafiti wa vivutio hivyo yanaonyesha Tanzania imeshuka kutoka nafasi ya pili iliyokuwa inashikilia mwaka 2014 hadi nafasi ya nane.
Umefungwa jana baada mwanaume mmoja kukutwa akipanda juu ya mnara huo bila ruhusa.
Agizo hilo limetolewa na Rais John Magufuli ambapo amesema kwa kufanya hivyo watakuwa wanaliimarisha shirika hilo la simu nchini na kumkumbuka baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Mwenyekiti wa bodi wa TTCL Omar Nundu amesema sehemu ya faida iliyobaki itatumika kwenye miradi midogo ya kimkakati.
Mashine hiyo itaongeza ufanisi na kupunguza msongamano wa wagonjwa wanaofuata huduma hiyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Iwapo mwenendo wa kuporomoka kwa mapato utaendelea kuvikumba vyombo vya habari, ubora wa habari upo hatarini kutoweka na kuathiri maendeleo nchini.
Baadhi ya sababu hizo ni ukamilishaji wa mawasiliano ya usalama kati ya rubani na wafanyakazi wa airport.
Fedha hizo zitatumika kutekeleza miradi ya kilimo kwa miaka mitatu kuanzia mwaka 2020 ambapo mfuko huo unaisubiri Tanzania iainishe maeneo mahususi ya miradi ya kilimo ambako fedha hizo zitaelekezwa.
Amesema ni wale wanahusika na uhalifu, kesi za ajali barabarani na zisizo na wamiliki.
Ni hatua ya kuboresha ufanisi wa mawasiliano kati ya binadamu na mashine.
Hifadhi hiyo iko umbali wa kilomita 62 kutoka katika mji wa kitalii wa Arusha na inasifika kwa vivutio mbalimbali ikiwemo Mlima Meru, Ziwa Momella na bonde la Ngurdoto.
Maeneo hayo ni pamoja na uanzishwaji wa bima ya mazao, upitiaji wa mfumo wa upatikanaji pembejeo za kilimo na usajili wa wakulima
Ni sehemu ya hoteli kujihakikishia viwango vya usafi vinavyopendekezwa katika maeneo yao na kubaini uchafu kwa haraka ikiwemo madoa na mawaa.
Tanzania inategemea zaidi kusafirisha madini na vito vya thamani ili kujipatia mapato lakini hali hiyo inaweza kuwa na madhara kwenye ukuaji wa uchumi
Mfumo huo utasaidia kutambua pembejeo feki za kilimo ikiwemo mbolea na mbegu huku ukiongeza uzalishaji wa mazao na usalama wa chakula.
Ni programu ya kompyuta iliyotengezwa kwa ajili ya kuwezesha mawasiliano kati ya binadamu na mashine.
Imesema inaangalia namna ya kuvisaidia viwanda hivyo kupata malighafi za ndani ili kuongeza uzalishaji.
Hawataruhusiwa kuingia na mifuko ya plastiki hiyo ifikapo June 1 mwaka huu.