Twiga hatarini kutoweka duniani
Wadau wa uhifadhi wanyama pori wanafanya mapitio ili kutathmini kama mnyama huyo aingizwe katika orodha ya wanyama walio katika hatari ya kutoweka duniani.
Wadau wa uhifadhi wanyama pori wanafanya mapitio ili kutathmini kama mnyama huyo aingizwe katika orodha ya wanyama walio katika hatari ya kutoweka duniani.
Amesema mpaka sasa wageni wanaoingia nchini hawajazuiwa kutumia mifuko hiyo na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) itatoa utaratibu wa matumizi ya mifuko hiyo kwenye ndege.
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp umetoa angalizo kwa watumiaji wake kuwa ifikapo mwanzoni mwa mwaka 2020 haitakuwa inapatikana katika baadhi ya matoleo ya simu za mkononi.
Thamani ya hisa za kampuni hiyo ya madini yaongezeka kwa asilimia 2.25 ikiwa ni ongezeko la Sh100 zaidi kwa hisa moja kutoka viwango vya Mei 13.
Watendaji wanatuhumiwa kwa kuonyesha udhaifu wa kiutendaji ndani ya tume hiyo ikiwemo matumizi mabaya ya fedha za miradi, rushwa, matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo na kukosa umakini katika shughuli zao.
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Facebook imetaka watumiaji wote zaidi ya bilioni 1.5 kuboresha programu katika toleo la sasa kuepuka uvamizi wa kimtandao wa hivi karibuni.
Akaunti hiyo inatumika kuwaleta pamoja wanunuzi na wauzaji wa bidhaa mbalimbali.
Mambo hayo ni pamoja na ujenzi wa vituo vya pamoja mipakani, ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na mafunzo ya urasimishaji biashara ya mipakani.
Ripoti ya awali ya kifedha kwa mwaka ulioishia Machi 2019 iliyotolewa na kampuni hiyo inaeleza kuwa mapato yanayotokana na huduma za sauti za simu bado mtihani.
Amesema hakuna upendeleo unaofanyika kwa runinga hiyo ya Taifa katika urushaji wa maudhui kwa umma na kama kuna mtu ana wasiwasi ampekee yeye atayarusha.
Serikali imesema tayari kampuni ya Azam imepata leseni hiyo jana huku DSTV na Zuku nazo zimewasilisha maombi ambayo yanafanyiwa kazi na TCRA.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema mradi huo haujasitishwa na majadiliano yanaendelea na wawekezaji baada ya “kuwepo masharti yasiyokuwa na maslahi kwa Taifa”.
Lengo ni kuongeza idadi ya marubani wazawa ambao watapikwa katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).
Watalii hao walipokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Spika Job Ndugai ameitaka itoe ufanunuzi wa kina kwa nini imesitisha ujenzi wa bandari hiyo muhimu Afrika Mashariki.
Serikali imesema haijulikani ni lini zoezi la ugawanyi wa fedha za ufilisi wa benki hiyo litaanza kutokana na kuwepo kwa kesi mahakamani.
Ni kutengeneza mpango kabambe wa kuwawesha wananchi wa kipato cha chini kutumia gesi ya kupikia badala ya kuni na mkaa.
Tulia na ielekeze akili yako katika kutafuta njia mbadala ikiwemo kuangalia uwezekano wa kupata ndege nyingine.
Mwaka 1995 ilikuwa ni anasa kumiliki simu ya mkononi. Kati ya watumiaji 100 wa simu, ni takriban watatu tu walikuwa wakitumia simu za mkononi kwa mujibu wa takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Yajipanga kudhibiti watalii wanaoingia nchini humo ili kukabiliana na msongamano mkubwa wa watu kwenye vituo vya utalii vilivyopo katika miji mikubwa hasa Amsterdam.