Mtwara inavyotikisa matokeo ya kidato cha sita
Mwaka 2018 mkoa huo ulishika nafasi ya kwanza kitaifa ambapo wanafunzi wake wote walifaulu kwa asilimia 100.
Mwaka 2018 mkoa huo ulishika nafasi ya kwanza kitaifa ambapo wanafunzi wake wote walifaulu kwa asilimia 100.
Mwili wa marehemu Renald Mengi utawasili jumatatu ya Mei 6 jijini Dar es Salaam na Mei 9 atapumzishwa katika nyumba yake ya milele Machame mkoani Kilimanjaro.
Ni Mwenyekiti wa baraza la chuo hicho aliyeteuliwa na Rais John Magufuli Disemba 2018, ambaye amekuwa na uwezo mkubwa kufuatilia uboreshaji wa miundombinu ya maktaba, barabara na mabweni chuoni hapo.
Ujumbe huo ulihusu urafiki na biashara aliuandika Aprili 23, 2019 ambapo ndiyo ulikuwa ujumbe wa mwisho kuwekwa katika ukurasa wake wa Twitter mpaka mauti yalipomkuta.
Amesema Mungu atawainulia mtu mwingine ili yale mema waliyokuwa wanayapata kwa mfanyabiashara huyo waendelee kuyapata.
Miezi mitano kabla ya kifo chake alifanikiwa kufanya uwekezaji mkubwa wa takriban Sh101 bilioni wa ujenzi wa viwanda vikiwemo vya magari na simu ambao ukiendelezwa utaleta matokeo chanya katika ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Mnara wa Effeil uliopo katika jiji la Paris, Ufaransa na sanamu ya Uhuru iliyopo Marekani ni miongoni mwa maeneo yanayotembelewa zaidi na watalii duniani.
Amesema atamkumbuka kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifa na maono yake yaliyopo katika kitabu chake cha I Can, I Will, I Must.
Mengi alizaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro na umauti umemkuta akiwa mjini Dubai, Falme za Kiarabu usiku wa kumakia leo.
Hajaweka wazi ni lini atatekeleza ahadi hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wafanyakazi kutolewa tamko lakini amewataka wawe wavumilivu kwa sababu sasa anajenga uchumi wa nchi na fedha zinaelekezwa katika miradi ya maendeleo.
Miongoni mwa maswali hayo ni ongezeko la kima cha chini cha mishahara na kupungua kwa kodi ya mishahara.
Asilimia 95 ya makusanyo ya Ofisi ya Rais-Tamisemi mwaka 2019/2020 yanatarajiwa kukusanywa kutoka katika halmashauri zote nchini ikiwa ni kibarua kigumu kwa viongozi wa mamlaka hizo.
Asema wakiendelea kununua kwa ajili ya kuiuza kabla ya Juni 1 itawadodea.
Hiyo inatokana na kasi ndogo ya kukopa katika Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania ukilinganisha na mikoa mingine ambapo hadi kufikia Machi 2019 wakulima wa mkoa huo walikopa Sh799.99 milioni ukilinganisha na Sh102 bilioni zilizotolewa na benki hiyo.
Soko hilo litasaidia kupunguza gharama za usafirishaji wa chai inayouzwa katika mnada uliopo katika mji wa Mombasa nchini Kenya.
Makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yameshuka kutoka Sh1.406 trilioni katika mwaka 2018/2019 hadi Sh1.389 mwaka wa fedha wa 2019/2020 unaoanza Julai mwaka huu.
Imesema haina mpango wa kufunga biashara za saluni za kubandika kucha bandia kwasababu hakuna taarifa za madhara ya matumizi ya kucha hizo.
Wanatumika kutuliza ghasia na kutawanya makundi ya watu ambao hawawezi kudhibitiwa na askari polisi wanaotumia magari na ni alama ya utamaduni na kivutio cha kwa wageni wanaotembelea miji mikubwa duniani.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya Kampuni ya Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (Kadco) kuweka mabango ya kielektroniki yanayoonyesha vivutio vya utalii katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Ni wale ambao hawajatekeleza agizo la kujenga vituo hivyo alilolitoa Januari 9, 2019 Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akiwaapisha mawaziri, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu wa wizara.