Dk Kilahama: TRA iweke kipaumbele zaidi elimu kwa mlipa kodi
Elimu ya kulipa kodi iwe kwa wote na TRA kuweni rafiki na mlipakodi na kwa lugha inayohamasisha kulipa kodi.
Elimu ya kulipa kodi iwe kwa wote na TRA kuweni rafiki na mlipakodi na kwa lugha inayohamasisha kulipa kodi.
Mjasiriamali aliyefanikiwa anaishi maisha ya kawaida yanayoendana na jamii inayomzunguka huku akizingatia uadilifu, uaminifu na kuwekeza katika kuimarisha thamani ya huduma na bidhaa anazotoa.
Imesema inatathmini kama kukamatwa kwa Muasisi wa mtandao huo Julian Assange na polisi wa London katika ubalizi wa Ecuador nchini Uingereza kulikiuka haki yake ya faragha.
Taasisi hizo ni pamoja na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Wakala wa Umeme Vijijini (REA) na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ambazo zilifanya malipo ya Sh7.95 bila kudai stakabadhi za kieletroniki.
Idadi ya taasisi za Serikali Kuu zilizokuwa na kasoro kwenye manunuzi zimeongezeka toka taasisi nane hadi 13 kwa mwaka 2017/2018 ikiwa ni ongezeko la asilimia 62.5 ukilinganisha na mwaka 2016/2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kutokana na mabadiliko ya teknolojia hakuna namna ya kukwepa kujifunza na kupata maarifa hasa kwa viongozi wa Serikali.
Ripoti yake ya ukaguzi ya 2017/2018 inaeleza kuwa Tume hiyo ya Sayansi na Teknolojia haikuzingatia sheria na kanuni za manunuzi, kutotumia vizuri fedha za wafadhili katika baadhi ya miradi ya ubunifu na teknolojia.
Baadhi ya wachangiaji katika ukurasa wa Twitter wamemsifu kwa umahiri wake wa kusimamia Katiba na kutoa ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali ya mwaka 2017/2018 licha ya Bunge kukataa kufanya naye kazi.
Ripoti yake yabaini ongezeko la vifo vya wanyama pori, mamlaka zashindwa kukusanya ada ya adhabu za ajali za barabarani na kutofautiana kwa takwimu za watalii wanaotembelea Tanzania.
Hayo yamebainika katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha wa 2017/18 jambo linalopunguza uwezo wake wa kuendelea kuwakopesha wanafunzi wapya na wanaoendelea.
Mkanganyiko huo unatokana na muingiliano wa majukumu unaosababisha usumbufu kwa wafanyabiashara na wawekezaji wakati wakitimiza shughuli zao.
Majadiliano yatafanyilka sambamba na mikutano ya kipupwe nchini Marekani na yatajikita kwenye maeneo ya mwenendo wa uchumi wa dunia; miradi ya maendeleo iliyopendekezwa na Benki ya Dunia kwa mwaka 2019/20.
Sasa kuwawezesha watumiaji wake kufahamu kwanini matangaza ya biashara au habari zinawafikia katika kurasa zao.
Ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Dk Oscar Mbyuzi ambaye uteuzi wake umetenguliwa leo na nafasi yake imechukuliwa na Jimson Mhagama.
Mifumo hiyo itasaidia katika ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania ambao umeendelea kuwa chini kwa miaka minne mfululizo.
Teknolojia inakupa zana (Tools) rahisi za mtandaoni zinaweza kukupa taarifa muhimu za matumizi.
Sekta hizo ni madini, uwekezaji, elimu, ajira na utalii ambazo zina mchanga mkubwa katika Pato la Taifa na ukuaji wa uchumi kila mwaka.
Taarifa ya NBS yaeleza mfumuko wa bei wa Taifa umeongezeka kidogo katika mwaka ulioshia Machi 2019 hadi asilimia 3.1 kutoka asilimia 3 ya Februari mwaka huu.
Serikali imesema kanuni tayari zimeandaliwa na wanakamilisha majadiliano na wadau ili kutekeleza marufuku hiyo katika muda uliotajwa.
Barua pepe ya Gmail ilianzishwa rami mwaka 2004 ambapo imekuwa nyenzo muhimu ya kuipaisha kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Google duniani.