Idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania yapaa
Idadi hiyo imeongeza hadi kufikia watalii 1.49 milioni mwaka 2018 kutoka 1.09 mwaka 2013.
Idadi hiyo imeongeza hadi kufikia watalii 1.49 milioni mwaka 2018 kutoka 1.09 mwaka 2013.
Serikali imesema imejipanga kulifanya Jiji la Dar es Salaam kuwa kitovuti cha utalii kwa kulitumia jengo la tatu la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) kuingiza watalii wengi.
Uamuzi huo umetangazwa jana katika mkutano wa kampuni wa Seedstars uliofanyika Uholanzi ambapo unalenga zaidi kuwanufaisha wabunifu na wajasiriamali wa teknolojia.
Amesema ujenzi wa ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya unaongeza gharama za uendeshaji ambazo zingeelekezwa katika uboreshaji wa huduma za kijamii ili kuwanufaisha wananchi.
Serikali imesema itaendelea kutoa elimu kwa wakulima, kujenga viwanda vya kusindika zao hilo ili kuongeza usafirishaji wa bidhaa.
Serikali imesema katika kuhakikisha inawawezesha vijana na wanawake wenye ulemavu kiuchumi, inaendelea kuwajengea uwezo kwa kuwapa elimu, mafunzo, mikopo na kuwaondolewa kodi katika baadhi ya vifaa saidizi.
Alikuwa ni Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni hiyo tangu Julai 1, 2016 na uteuzi umefanyika ili kuhakikisha shughuli za kampuni hiyo zinaendelea kama kawaida, baada ya Mkurugenzi Mtendaji, Hisham Hendi kufikishwa mahakamani.
Serikali imeandaa mwongozo wa tathmini ya mazingira kimkakati ambao utawezesha mpango wa uchumi na viwanda kufanyiwa tathmini ya mazingira kimkakati.
Mambo hayo ni pamoja na kuepuka kukaa au kuegesha vyombo vya usafiri na usafirishaji chini ya miti mikubwa, kutokucheza kwenye kingo za mito na kutokuvuka katika madaraja na vivuko vilivyojaa maji.
Wanaidai kampuni ya uwakili ya Locus Attorney iliyochapisha tangazo la kuuza hoteli hizo kwa madai zimeshindwa kurejesha mkopo katika Benki ya Exim.
Ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Hisham Hendi na wenzake nane ambao wanakabiliwa na mashtaka 10 kuisababishia Serikali hasara ya Sh5.8 bilioni.
Serikali imesema kwa sasa nchi haina tatizo la mzunguko mdogo wa fedha katika soko kutokana na hatua mbalimbali zilizochukuliwa kukabiliana na tatizo hilo ikiwemo kuongeza ukwasi kwenye uchumi.
Amesema halidhishiwi na kasi yake ya ujenzi wa barabara hiyo tangu alipokabidhiwa mwaka 2017 mpaka leo haijakamilika.
Amesema zimeshindwa kusimamia zao hilo na kuwaacha wakulima wakilanguliwa kwa bei ndogo.
Amesema mkoa wa Mtwara uko mpakani, una fursa nyingi za uwekezaji ambapo uboreshaji wa miundombinu ya usafiri ni muhimu
Hatua hiyo ni kuongeza ushindani na kuimarisha sekta ya usafiri wa ndege nchini.
Ni kupitia shindano la andiko bora la biashara ambapo washindi watapata ruzuku ya mitaji unaofikia hadi kiasi cha Sh20 milioni.
Limeadhimia kutofanya kazi naye baada ya kumtia hatiani kwa kauli yake ya kusema chombo hicho ni dhaifu wakati akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kuandaa utaratibu wa usafirishaji wa mazao hayo saa 24 ili kuchochea ukuaji wa uchumi.
Amesema haridhishwi na utendaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika ukusanyaji wa kodi na kuitaka mamlaka hiyo kutanua wigo wa walipa kodi kwa kubuni vyanzo vipya vya kodi na kujenga mazingira rafiki ya watu wengi kulipa kodi.