Safari ya mwisho ya Ephraim Kibonde kuhitimishwa jumamosi
Atapumzishwa katika makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam Machi 9, 2019.
Atapumzishwa katika makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam Machi 9, 2019.
Uwekezaji huo utasaidia kuendeleza ardhi ya kilimo na kufungua milango ya ajira kwa vijana.
Kwa sasa anafanya utafiti wa kina wa viumbe vidogo vidogo kwenye udongo utakaosaidia kuongeza tija katika sekta ya kilimo nchini hasa katika kukabiliana na magugu sumbufu kwa mazao ya nafaka.
Alikuwa mtangazaji mashuhuri wa Clouds FM amefariki leo asubuhi katika hospitali ya Bugando mkoani Mwanza.
Licha ya kupata tuzo, bado tamthilia iliyompatia ushindi ya ‘Safari Yangu’ bado haijapata mteja wa kuirusha kwenye televisheni.
Amesema mfumo mzuri wa maamuzi na sheria utawahakikishia wawekezaji na wafanyabiashara mazingira mazuri ya kuendesha shughuli zao.
Kuna wanawake wengi wanafanya mazuri lakini kwa sababu mbalimbali mchango wao umekuwa haufahamiki.
Wanasayansi wanasema ugumu wa kusoma lugha ya pili unajitokeza zaidi mtu anapovuka miaka 10.
Ni baada ya Serikali kusaini mkopo wenye thamani ya takriban Sh589.3 bilioni ili kujenga barabara ya Kabingo-Kasulu-Manyovu yenye Kilomita 260 kwa kiwango cha lami na kuboresha miundumbinu ya huduma za jamii.
Wadau wa usafiri wamekuwa na hisia tofauti huku wengine wakisema itasaidia kuifanya biashara hiyo kuwa rasmi na wengine wakieleza kuwa itaibua changamoto ya muda na kupanda kwa bei ya kusafirisha vifurushi hivyo.
Ni kile cha Tanelec kilichoko jijini Arusha kimefanikiwa kutoa gawio la Sh500 milioni kwa mwaka 2018 kutokana na faida iliyopatikana baada ya Serikali kuzuia uagizaji wa vifaa vya umeme nje ya nchi.
Kampuni hizo zitawekeza zaidi ya Sh23 bilioni kuendeleza miradi wa uzalishaji wa umeme wa upepo wa katika nchi za Afrika ukiwemo wa ‘Miombo Hewani’ mkoani Njombe ili kuwapunguzia wananchi adha ya upatikanaji wa nishati ya umeme.
Mkutano huo umeandaliwa na kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) na unafanyika kwa siku tano ambapo mawaziri wanajadili sera na matumizi mazuri ya rasilimali za Taifa ili kuondokana na umasikini.
Ruge Mutahaba amezikwa kijijini kwao mkoani Kagera akiacha kumbukumbu ya miradi na matamasha lukuki yakiwemo Malkia wa Nguvu, Fursa na Fiesta.
Mawaziri hao ni Profesa Palamagamba Kabudi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Balozi Augustine Mahiga wa Katiba na Sheria ambao wamebadilishana wizara jana Machi 3, 2019.
Amesema Watanzania wanataka kupatiwa majibu kutoka kwa Jeshi la Polisi ambalo limekaa kimya tangu mfanyabiashara atekwe na kupatikana, licha ya kuahidi kufanya hivyo.
Amewataka vijana kutumia zaidi vipaji vyao kujiingizia vipato na kuacha kulalama juu ya ukosefu wa ajira unaoendelea kuliandama Taifa.
Ni katika mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri yaliyotangazwa leo na Ikulu yakiwa ni ya pili kufanywa ndani ya miezi miwili.
Amesema hakuna mtu anayeweza kuelezea kwa ukamilifu wasifu wake kutokana na mchango mkubwa alioutoa katika kampuni ya CMG na Taifa kwa ujumla.
Adha ya usafiri ilijitokeza jana wakati msafara wa marehemu alipokuwa unapita katika barabara za Jiji na kusababisha foleni ya magari hasa jioni.