Ahueni Vs maumivu zaidi: Bei ya mahindi yazidi kushuka Tanzania
Wastani wa bei ya jumla ya gunia la kilo 100 kwa mwezi Machi 2021 ilikuwa Sh47,963 ikiwa imeshuka kutoka Sh51,450 iliyorekodiwa Februari mwaka huu.
Wastani wa bei ya jumla ya gunia la kilo 100 kwa mwezi Machi 2021 ilikuwa Sh47,963 ikiwa imeshuka kutoka Sh51,450 iliyorekodiwa Februari mwaka huu.
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema katika mwaka 2021/22, Serikali itawekeza Sh10.6 bilioni kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao zikiwemo mbegu za mafuta ya kula.
Hivi karibuni, kampuni ya nchini China ya kutengeneza bidhaa za kielektroniki ya Tecno imetangaza simu yake mpya toleo la Camon 17.
Tafuta watu ambao mnaweza kuzungumza lugha ambayo mtaelewana.
Asema ukosefu wa maadili ni sababu ya mambo mabaya yanayoendelea katika jamii ikiwemo vijana kutokuwapisha viti wazee, ujambazi na ndugu kushindwa kulea wazee.
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu nane kwa kosa la kuiba vifaa vya ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi (John Magufuli) zikiwemo nyaya.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema yeye na watu waliohudhuria mkutano wa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wameamua kuvaa barakoa ili kuwakinga wazee dhidi ya ugonjwa wa Corona ambao unaitesa dunia kwa sasa.
Tahadhari ya kunawa mikono kwa maji na sabuni na kutumia vitakasa mikono ili kujikinga na ugonjwa wa Corona imeleta matokeo chanya baada ya kusaidia kupunguza magonjwa ya mlipuko kikiwemo kipindupindu katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza.
Mke wa mwanajeshi anapouliwa na wauaji waliotoka kwenye historia yake, anaamua kutafuta wapi mzizi wa fitina ulipoanzia.
Ikiwa ni siku moja tangu kukamilika kwa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Kenya, Watanzania wakiwemo wafanyabiashara wametoa maoni yao kuhusu ziara hiyo huku baadhi wakisema itafungua ukurasa mpya wa ushirikiano.
Huenda uhakika wa upatikanaji wa huduma maji nchini Tanzania ukachelewa kidogo, kutokana na kupungua kwa bajeti ya Wizara ya Maji kwa Sh52.8 bilioni kwa mwaka wa fedha 2021/22.
muda sahihi ni pale moyo wako unapokuwa umekubali kuendelea na maisha yako baada ya mahusiano yako ya awali kuvunjika.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uhusiano wa Tanzania na Kenya haupaswi kujengwa katika misingi ya ushindani na uhasama badala yake ujikite katika undugu.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ziara yake nchini Kenya iliyoifanya kwa siku mbili ndiyo ziara yake kwanza tangu alipoteuliwa kuwa Rais wa sita wa Tanzania Machi 19 mwaka huu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anahutubia Bunge la Kenya lililo na mjumuiko wa wabunge wa Seneti na Bunge la Kenya.
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametoa wiki mbili kwa watendaji wa Serikali yake akiwemo Waziri wa Kilimo wa Kenya Peter Munya kumaliza mgogoro wa mahindi ya Tanzania.
Bei ya petroli na dizeli zimeedelea kupanda kwa miezi mitatu mfululizo nchini Tanzania, habari ambayo huenda ikawaumiza vichwa wamiliki wa vyombo vya moto wanaotumia nishati hizo katika shughuli mbalimbali.
Imetangaza kusitisha ndege zote zinazotoka na kwenda India kuanzia Mei 4 mwaka huu ili kujikinga na ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huo yanayozidi kuongezeka nchini humo.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ambapo wamekubaliana mambo mbalimbali ikiwemo kukuza na kuimarisha uhusiano na mshikamano kati ya mataifa hayo mawili.
Wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu Tanzania wameanza mwezi Mei kwa neema zaidi kutokana na kuendelea kupunguziwa maumivu baada ya Serikali kutangaza kuondoa asilimia 10 ya faini kwa wale wanaochelewa kuanza kurejesha fedha hizo.