Serikali yajiwekea mikakati kuongeza mapato ya utalii kutoka China
Serikali imesema licha ya masoko ya asili, nguvu kubwa inaelekezwa kutumia watalii kutoka nchi za China, Israel, Oman, Russia na Australia.
Serikali imesema licha ya masoko ya asili, nguvu kubwa inaelekezwa kutumia watalii kutoka nchi za China, Israel, Oman, Russia na Australia.
Kampuni ya Airbus imesema haitatengeneza tena ndege aina ya A380 na toleo la mwisho litatoka mwaka 2021 kutokana na kupungua kwa soko la ndege hizo.
Ni fursa ya mafunzo na kuripoti Mkutano wa Afrika wa Tabianchi Accra Ghana kuanzia 18 hadi 22 Machi 2019.
Awataka kusogeza huduma zao karibu na wananchi ili kuwavutia kutunza fedha zao katika hali ya usalama badala ya kuzihifadhi majumbani.
Licha ya changamoto za usiri, udukuzi, habari za uongo na mambo mengine hasi ya maisha ya mtandaoni, bado dunia inaendelea kushikamana na mitandao hiyo.
Sasa watumiaji wa kompyuta wanaweza kuipakua na kuitumia kama programu tumishi (App) kucheza michezo (games).
Eneo la biashara, utoaji ofa na bei vinachangia katika kukuza soko la biashara yako.
Ndani ya mwaka mmoja zaidi ya watumiaji 91,000 waliacha kutumia huduma za posta Tanzania.
Mwanzilishi mwenza na mmiliki wa mitandao hiyo Mark Zuckerberg amesema mabadiliko hayo yapo katika hatua za mwanzo za utekelezaji na kwamba huenda yakaanza kuonekana machoni mwa watu angalau mwaka 2020 au zaidi.
Mudi Mabiriani hutumia mitandao ya kijamii kama Twitter, Facebook na Instagram katika kutangaza biashara yake jambo lililoshawishi wengi kuingia kwenye biashara hiyo.
Katika hali tusiyoitarajia, baada ya mama kujifungua kukiwa na mwanga wa umeme katika Zahanati ya Marumba, wilayani Tunduru, waliamua kumuita mtoto wao aliyezaliwa “SOLAR” kuonyesha furaha yake.
Kwa mujibu wa Utafiti wa hali ya huduma za kifedha Tanzania ujulikanao kama Finscope uliofanyika mwezi wa Aprili na Julai mwaka 2017, ukiachana na chakula na mavazi Watanzania hutumia zaidi fedha zao kwenye huduma za afya kwa asilimia 11 na kufuatiwa na e
Miongoni mwa majukumu aliyonayo mwekezaji ni kukuunganisha na watu mbalimbali ili uweze kukuza soko la biashara yako.
Ni programu ya simu (App) inayosaidia kupunguza pengo la upungufu wa watoa huduma za ushauri wa kisheria kwa sababu wananchi wengi watapata huduma hii popote walipo kwa wakati mmoja.
Benki Kuu ya Tanzania yaeleza kuwa uchumi ulikua kwa wastani wa asilimia 6.7 katika kipindi cha Januari hadi Septemba 2018 kutoka asilimia 6.2 ya kipindi kama hicho mwaka 2017.
Wanazikusanya na kuzipanga kwa mafungu ili kuzirejeza na kutengeneza bidhaa mbalimbali ikiwemo karatasi laini na mapamba ya nyumbani.
Ni pamoja na kula mlo kamili, kufanya mazoezi, kuacha uvutaji na unywaji wa pombe uliopitiliza na kuepuka unene uliopitiliza.
TRA isimamie uwekaji wa mifumo hiyo na ifikapo februari 28, 2019 kila kiwanda kiwe kimefunga mfumo huo.
Licha ya changamoto za usiri, udukuzi, habari za uongo na mambo mengine hasi ya maisha mtandaoni, bado dunia inaendelea kushikamana na intaneti na mitandao ya kijamii.
Serikali, sekta binafsi watakiwa kujielimisha zaidi juu ya matumizi ya mkaa ili kupata suluhisho la pamoja katika kutafuta nishati endelevu itakayosaidia kupunguza ukataji miti.