Daladala ni kila kitu usafiri Tanzania
Ni asilimia 85.7 ya mabasi yote yaliyopo nchini na hutumika zaidi kusafirisha abiria katika miji na vijiji.
Ni asilimia 85.7 ya mabasi yote yaliyopo nchini na hutumika zaidi kusafirisha abiria katika miji na vijiji.
Kuzima data wakati hutumii intaneti ni moja ya njia rahisi za kudhibiti matumizi makubwa ya vifurushi vya mtandao.
Mabadiliko ya tabia ni muhimu ikiwemo kupunguza mwanga na kuzima programu zisizotumika yatakusaidia kudumu kwa muda mrefu.
Ni wale wanaofanya biashara katika eneo la Kariakoo na maeneo ya jirani kwasababu itawapunguzia adha ya foleni na usafirishaji wa mizigo.
Huusisha matumizi ya nishati mbadala, vifaa vya kielektroniki na urejelezaji wa taka ili kuifanya dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishi.
Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetakiwa kushughulikia changamoto za madeni ya ndani ili kuboresha upatikanaji wa umeme visiwani humo.
Ni visiwa cha Ukerewe kilichopo katika Ziwa Victoria pamoja na kisiwa cha Mafia katika bahari ya Hindi.
Katika kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka 2018, kulitokea matukio 3,978 ya ajali za barabarani ukilinganisha na matukio 6,022 yaliyotokea mwaka uliotangulia wa 2017.
Wamesema hatua hiyo itakuwa na matokeo mchanganyiko ikiwemo kuathiri baadhi ya watu ambao wanatumia mtandao huo kwa nia njema.
Mambo hayo ni pamoja na kuweka maudhui ya upotoshaji dhidi ya wateja yasiyoendana na biashara yako.
Unasaidia kupunguza gharama za nishati inayotumika kwenye mifumo ya machemsho ya maji.
Mkoa wa Dar es Salaam pekee una zaidi ya robo ya wafanyakazi wa viwandani sawa na jumla ya wale waliopo mikoa ya Morogoro, Arusha na Kilimanjaro.
Ubunifu siyo jambo linalofanywa na wasomi pekee. Hata ambao hawajaenda shule ni lazima wafanye ubunifu kwa ajili ya biashara zao.
Hatua hiyo itasaidia kujikita katika habari za uchunguzi ili kutatua changamoto za upatikanaji wa nishati vijijini.
Mpaka sasa malipo yamefanyika kwa tani 92,000 ikiwa ni chini ya nusu ya korosho yote iliyopo ghalani inayofikia tani 206,000.
Imepatikana baada ya kukamilisha usajili na itaanza kuonekana kwenye kisimbusi cha AZAM namba 109.
Wamesema nishati hiyo ni ya uhakika, endelevu na inaweza kutumiwa na vizazi vijavyo bila kuathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa.
Ni zile zinazohitajika katika kuripoti habari za nishati jadidifu ili kuleta matokeo chanya kwenye jamii.
Wabunifu wanatumia kama mapambo ya taa, viti ili kuongeza mvuto na kuendeleza utamaduni wa Afrika.
Itaziunganisha bandari za Tanzania, Kenya na Uganda huku ikiongeza usafirishaji wa abiria na bidhaa katika ukanda huo.