Vijana waanika fursa zilizojificha katika matumizi ya mitandao ya kijamii
Mitandao ni majukwaa ya kubadilishana uzoefu na fursa mbalimbali ambazo vijana wakizitumia vizuri zitawasaidia kuboresha maisha yao.
Mitandao ni majukwaa ya kubadilishana uzoefu na fursa mbalimbali ambazo vijana wakizitumia vizuri zitawasaidia kuboresha maisha yao.
Wachambuzi masuala ya usafiri wamesema hatua hiyo ni pigo kwa sekta ya usafiri wa anga kwa sababu nchi inaweza kurudi katika enzi za shirika la ndege la Taifa kuhodhi biashara ya anga.
Imesema limepoteza sifa ya kuendelea kutoa huduma ya usafiri na kutoa notisi ya siku 28 ya kuja na mpango mkakati kwanini wasifungiwe.
Kuwa na mawazo ya kibunifu yanayolenga kutatua changamoto za wananchi wa kawaida katika jamii ili kuwatengenezea tija ya maisha.
Tuzo hizo ni ile ya Vijana ya Umoja wa Ulaya ya mwaka 2018 na ya Malkia wa Uingereza kwa viongozi vijana ya mwaka 2015 ambazo zinatambua mchango wake katika sekta ya elimu Tanzania.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawataka wajitokeze ili waandikishwe na kuanza kulipa kodi kwa mujibu wa sheria.
Itatoa fursa kwa wadau kutangaza utalii ndani na nje ya Tanzania ili kuvutia wawekezaji katika sekta hiyo watakaochangia katika ukuaji wa pato la Taifa.
Ni fedha za asilimia tano zinazotengwa katika maeneo yao kila mwaka ili kuwawezesha vijana na wanawake kiuchumi.
Kupitia mfumo huo Serikali inaweza kuona makusanyo yote yanayoingia jambo linaloongeza ufanisi wa upatikanaji wa mapato, uwajibikaji na uwazi.
Amesema walitumia vigezo vikubwa yaani uhakika wa chanzo chenyewe, gharama za utekelezaji, gharama za uzalishaji pamoja na tija na kubaini kuwa mradi huo ndio unaifaa Tanzania kwa sasa.
Wamehukumiwa kwa kununua gari chakavu lenye thamani kubwa kuliko lililopitishwa na Chama Kikuu cha Ushirika wa Tumbaku (WETCU) na kukisababishia chama hicho hasara.
Uwekezaji huo utawezesha kuziunganisha nyumba mpya 145,500 kwa umemejua na kutengeneza ajira zaidi ya 2,100 hasa za vijijini ambako umeme wa gridi ya Taifa haujafika.
Uwekezaji huo unafanyika kwa kuingia ubia na kampuni ya Swala Oil and Gas Tanzania PLC ili kuendesha shughuli za uchimbaji mafuta nchini kuanzia mwaka 2019.
Vitambulisho hivyo viko 670,000 na kila mkuu wa mkoa amepewa vitambulisho 25, 000 ili wakavigawe kwa wafanyabiashara ambao mtaji wao hauzidi Sh4 milioni viwasaidie kuzitambulisha biashara zao.
Imesema itaendelea kuenzi misingi ya utawala bora na haitamvumilia kiongozi yeyote wa umma atakayetanguliza maslahi binafsi badala ya maslahi ya umma katika utendaji wake.
Rais John Magufuli amesema hali hiyo inatokana na mapungufu yanayojitokeza katika mifumo na taratibu za ukusanyaji kodi ikiwemo wigo mdogo wa kulipa kodi usioendana na idadi ya watanzania.
Watazipata baada ya kuanza kuuza miwa katika viwanda viwili katika maeneo ya Mkulazi wilayani Ngerengere na Mbigiri wilayani Mvomero katika mkoa wa Morogoro ili kupunguza tatizo la upungufu wa sukari nchini.
Waziri wa nishati wa Uganda amesema mabadiliko ya muundo wa kibiashara na kifedha katikati ya safari yamechangia kuchelewesha utekelezaji wa mradi huo mkubwa.
Mpaka sasa Serikali imefanikiwa kukusanya tani 181,000 za korosho ikiwa zimepita zaidi ya wiki tatu tangu ilipositisha ushiriki wa wanunuzi binafsi kuchukua korosho kutoka kwa wakulima.
Jifunze kujiuliza kabla hujachukua maamuzi yoyote yanayoweza kuhatarisha uhusiano wako kwa ulichokiona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mwenzi wako.