PSPTB yatakiwa kudhibiti rushwa sekta ya manunuzi, ugavi
Pia imetakiwa kuhakikisha inadhibiti maadili ya wafanyakazi wa sekta ya ununuzi na ugavi ili fedha za serikali zinazotumika kwenye manunuzi ziwe na tija kwa wananchi.
Pia imetakiwa kuhakikisha inadhibiti maadili ya wafanyakazi wa sekta ya ununuzi na ugavi ili fedha za serikali zinazotumika kwenye manunuzi ziwe na tija kwa wananchi.
Lengo ni kuwawezesha wananchi wengi zaidi wakiwemo wakulima kunufaika na huduma za kifedha zinazotolewa na taasisi hizo za fedha kwa ajili ya kujiletea maendeleo yao.kuchochea maendeleo.
Sababu hizo ni pamoja na tabia zisizofaa za watumiaji wa umeme, makundi ya watumiaji na aina ya vifaa vya kielektroniki vinavyotumika ndani ya nyumba.
Amesema ni vema wakatumia mitandao hiyo kwa kuhamasishana mambo mema zikiwemo shughuli mbalimbali za maendeleo na kwa wataokiuka sheria ipo na inaendelea kufanya kazi.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji ameagiza mfanyakazi huyo achunguzwe baada ya kutuhumiwa kushinikiza apelekewe Sh700,000 kulipia mashine ya EFD ili asifungie biashara.
Awataka viongozi hao wawe mfano bora wa kuigwa, waadilifu, watenda haki, kufuata sheria pamoja na kufahamu na kuheshimu miiko ya uongozi.
Tamasha hilo limefungua mlango kwa wanahabari kujifunza na kupata maarifa, ujuzi na mbinu watakazotumia kuifikia jamii katika sekta ya nishati jadidifu.
Kiwanda hicho kinategemewa kujengwa kwa gharama ya Sh500 milioni mpaka kitakapokamilika na kitatoa ajira kwa watanzania 70 ambao watapangiwa majukumu mbalimbali kiwandani hapo.
Matokeo mengine yanayotarajiwa kufikiwa kutokana na mkakati huo ni kupungua kwa maambukizi mapya ya VVU miongoni mwa watoto kwa chini ya asilimia 5 ifikapo mwaka 2023 na chini ya asilimia 2 ifikapo mwaka 2030.
Imesema kukamilika kwa uhakiki huo wa taarifa za kiutumishi kwa watumishi wa umma kutaiwezesha Serikali kupanga upya mishahara na motisha kwa watumishi.
Imewaomba waendelee kufanya kazi zao za maendeleo kwasababu kitu hicho kilichoanguka ardhini Novemba 27, 2018 hakina madhara yoyote kwa maisha yao.
Wameshauriwa kujiunga katika vikundi kwa sababu Serikali imeweka mikakati mizuri kuhakikisha wananufaika na uwepo wa rasilimali hiyo.
Changamoto hizo ni pamoja na wanasiasa kuingilia maamuzi ya sera zinayohusu nishati jambo linaloathiri utekelezaji wa miradi mbalimbali inayolenga kuwainua wananchi kiuchumi.
Ni Rais mstaafu wa Afrika Kusini na Mwenyekiti wa jopo la ngazi ya juu lililoundwa na Umoja wa Afrika (AU) kushughulikia tatizo la utoroshaji wa fedha
Ni dawa ya asili ambayo hutengenezwa kwa ngozi ya punda na hutumika kupunguza uzee, kuongeza nguvu za kiume, kuzuia ugumba, kuharibika kwa mimba na kusawazisha hedhi kwa wanawake.
Usomaji wa vitabu unamfanya mtoto kuwa mbunifu na kupata maarifa mengi yatakayomsaidia kuweza kufika mbali kimaendeleo.
Serikali imesema itachimba visima virefu na vifupi pamoja na kutumia maji ya maziwa na mita kuyapeleka katika maeneo mbalimbali ya wananchi nchini ili kumaliza hilo.
Imejengwa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa gharama ya Sh93.6 bilioni ikiwa ni msaada kutoka Serikali ya China na inakuwa maktaba kubwa kuliko maktaba zote ambazo nchi hiyo imezijenga barani Afrika.
Hatua hiyo itarahisisha upatikanaji wa vibali hivyo kwa raia wa kigeni na kuchochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi nchini.
Kampeni hiyo italeta maana ikiwa kila mtu katika nafasi yake atasimama kukemea na kupinga vitendo vyote vinavyohatarisha maisha na ustawi wa wasichana na wanawake katika jamii.