ACT-Wazalendo waitaka Serikali ikomeshe vitendo vya ukatili dhidi ya wavuvi
Wadai vitendo hivyo vimetokea katika operesheni tatu za kutokomeza uvuvi haramu zinazotekelezwa katika Ziwa Victoria na bahari ya Hindi mwaka huu.
Wadai vitendo hivyo vimetokea katika operesheni tatu za kutokomeza uvuvi haramu zinazotekelezwa katika Ziwa Victoria na bahari ya Hindi mwaka huu.
Uamuzi huo unakuja baada ya wafanyabiashara wanaojihusisha na biashara ya kubadilisha fedha kutakiwa kurudisha leseni kwa kile kinachodaiwa baadhi yao wameshindwa kukidhi vigezo vya kuendesha biashara hiyo.
Amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano na miongozo kwa vyuo vikuu vyote nchini ili viendelee kutoa elimu yenye ubora na viwango vinavyotakiwa.
Awaagiza watendaji Serikalini kuhakikisha lengo la kila kaya nchini kupata choo bora kabla ya Desemba 31, 2018 linafikiwa ili kuwaepusha wananchi na maradhi.
Amesema changamoto iliyopo ni watu kushindwa kutofautisha kati ya kuikosoa na kuitukana Serikali kwani wengi wamekuwa wakitukana na kusema wanaikosoa.
Sehemu kubwa ya mapato hutumika kulipa mishahara ya wafanyakazi na fedha zinazoelekezwa katika miradi ya maendeleo.
Imeshinda tuzo hiyo kwa mara ya tatu inayotolewa na Jarida la “National Geographic Magazine” la nchini Urusi kwa mwaka 2018.
Inashirikiana na nchi za ukanda wa maziwa makuu katika kusimamia matumizi endelevu ya maji ya mto huo kwa ajili ya ustawi wa kiuchumi wa nchi wanachama.
Mahitaji yake yanaongezeka kwa kasi duniani hasa katika nchi za Ulaya na Marekani ambako inatumika kutengeneza chokoleti.
Wachambuzi wa masuala ya biashara wanasema mhudumu mzuri ni yule anayemhudumia mteja kwa unyenyekevu, anayejali na kuheshimu muda wake.
Elimu hiyo itawahusu maafisa ushirika, viongozi wa vyama vya msingi (AMCOS), maafisa ugani na wakulima ili kuwawezesha kubaini na kupanga korosho katika madaraja kuanzia ngazi ya vyama vya msingi.
Halmashauri hiyo inaongoza kwa kuwa na vyanzo vingi vya umeme katika shule za msingi Tanzania bara.
Dirisha la kuwasilisha rufaa litakuwa wazi kwa siku tano, kuanzia leo hadi Novemba 25, 2018 na linawahusu wanafunzi ambao hadi sasa hawajapata mkopo au wasioridhika na viwango walivyopatiwa katika mwaka wa masomo wa 2018/19.
Benki hiyo sasa imeondoa zuio la wafanyakazi wake kuzuru nchini lililokuwa limewekwa hapo awali kwa madai ya “kuwepo vitisho na ubaguzi dhidi ya watu wanaotekeleza vitendo vya ushoga”.
Ameagiza Sh995 milioni zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha sherehe hizo zitumike kujenga hospitali ya Uhuru mkoani Dodoma.
Takribani matukio 9 kwa kila 10 ya wizi wa fedha mtandaoni yalifanywa kupitia miamala ya simu za mkononi.
Imesema iliwatumia askari wa JWTZ katika operesheni hiyo kwa sababu askari wengi wa Jeshi la Polisi walikuwa wakisimamia usalama katika vituo vya mitihani ya kidato cha pili inayoendelea nchini.
Wazazi waanzisha kampeni ya kuishawishi jamii kuwazuia watoto kutumia simu katika umri mdogo ili kuwalinda dhidi ya athari za mtandaoni.
Zaidi ya nusu ya kaya nchini hazina vyoo bora jambo linalowaweka wananchi hasa watoto katika hatari ya kukumbwa na magonjwa ya kuambukiza
Aliacha kazi yenye maslahi mazuri ikiwemo kufundisha vyuo mbalimbali na kujikita katika upigaji picha akiamini ni shughuli inayomfaa na kumuendeleza kimaisha