Rais Samia atua Kenya kwa ziara ya siku mbili
Anatarajiwa kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Kitaifa na Seneti kesho.
Anatarajiwa kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Kitaifa na Seneti kesho.
Ameingia kwenye orodha vigogo wanaongoza taasisi za fedha na bima baada ya kuteuliwa kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya huduma za bima ya Jubilee Insurance.
Inashauriwa kuikagua mashine yako mara mbili kwa mwaka na kuiacha ikiwa safi wakati wote.
Itaanza kufanya safari zake kuelekea jijini Guangzhou nchini China ifikapo Mei 8 mwaka huu baada kuahirishwa mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo janga la Corona.
Wadau wa habari wasema uhuru wa habari Tanzania umeporomoka hasa kipindi cha miaka ya hivi karibuni.
Imeipongeza kwa mchango wake wa kukabiliana na habari za uzushi kwa kutoa mafunzo ya uthibitishaji habari na ujuzi wa kidijitali kwa waandishi wa habari na vijana wa Tanzania.
hadi kufikia Machi mwaka huu imefanikiwa kuzalisha na kusambaza vitambulisho vya Taifa milioni 7.1, licha ya kugawa namba za utambulisho (NIN) milioni 18.7 kwa wananchi, jambo linalowaacha mamilioni ya Watanzania bila vitambulisho.
Serikali imesema itawachukulia hatua watumishi watakaoshindwa kutekeleza majukumu yao kikamilifu ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo ya umma.
Huenda wakulima nchini Tanzania wakapata ahueni kwa mahindi yao kupata soko siku za hivi karibuni baada ya Serikali kutangaza mikakati inayochukua kuwatafutia soko la uhakika ndani na nje ya nchi.
Katika hotuba yake aliyoitoa leo katika maadhimisho ya Mei Mosi, Rais Samia Suluhu Hassan amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu maslahi ya wafanyakazi ikiwemo kupandisha mishahara na kodi.
Rais Samia Suluhu Hassan leo ametangaza kuwa Serikali imepunguza kodi ya mshahara hadi kufikia asilimia nane huku akiahidi kupandisha mishahara ya wafanyakazi mwakani.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Guterres amesema kuwa mirindimo na miondoko yake inaonyesha utu wa kibinadamu usiyoweza kushindwa
Kupanga ni kuchagua. Na uchaguzi unategemea anayepanga anataka nini kwenye maisha yake. Mipango iko kwenye kila jambo unalolifanya hata kama ni dogo kiasi gani.
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuwataka baadhi ya vijana wa kujitolea waliochaguliwa kujiunga na jeshi hilo mwaka 2020/21 kuripoti tena jeshini baada ya kurejeshwa nyumbani mwezi Februari mwaka huu.
Itafanya mapitio ya mitaala ya shule za msingi na sekondari ili kuingiza stadi mbalimbali za maisha zitakazowasaidia wahitimu kuwa na uwezo wa kiushindani katika soko la ajira.
Imefanikiwa kukusanya Sh445.2 bilioni ya maduhuli yaliyotokana na vyanzo mbalimbali katika sekta ya madini ikiwemo ada za leseni, jambo ambalo linatia matumaini kwa Watanzania kuendelea kufaidika na sekta hiyo.
Vifaa hivyo vinavyotumiwa na mtu binafsi kujipima Virusi Vya Ukimwi (VVU) sasa vitauzwa chini Sh4,600 duniani.
Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya mwaka 2021/22 imeongezeka hadi kufikia Sh78.5 bilioni baada ya kushuka mfululizo kwa miaka miwili iliyopita.
Kuandaa nyaraka hizo, unatakiwa kuwa na uhakika na unachoandika.
Serikali imewataka wananchi wanaoishi karibu na mbuga za wanyama kutumia njia mbadala kuzuia tembo kuvamia mashamba na makazi yao kwa kuepuka kulima mazao yanayovutia wanyama hao zikiwemo ndizi.