Majaliwa awataka wananchi kata ya Mnacho kujenga mabweni ya wanafunzi
Mabweni hayo yatawaondolea wanafunzi wa kata hiyo adha ya kutembea umbali mrefu kwenda katika shule ya sekondari Mnacho.
Mabweni hayo yatawaondolea wanafunzi wa kata hiyo adha ya kutembea umbali mrefu kwenda katika shule ya sekondari Mnacho.
Imeshika nafasi ya kwanza katika matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi katika mkoa wa Lindi mwaka huu.
Waambiwa sekta hiyo ina fursa nyingi ambazo zikitumiwa kikamilifu zinaweza kuboresha maisha yao na jamii zinazowazunguka.
Maagizo hayo ni pamoja na mikoa nchini kutakiwa kuanzisha maonyesho ya viwanda, biashara ndogo ndogo na teknolojia.
Kati ya fedha hizo, Sh38.6 bilioni zimepelekwa katika shule za msingi na Sh44.6 bilioni zimeenda katika shule za sekondari ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa utoaji elimu bila malipo.
Vikundi vya kusaidiana maarufu kama “Upatu” havitasimamiwa chini ya Sheria hiyo kwa sababu havijihusishi na biashara ya huduma ndogo za fedha.
Amesema korosho hizo zimeshaanza kununuliwa kwa Sh3,300 kwa kilo na wakulima wameshaanza kulipwa malipo yao.
Habari za kutolewa mkopo huo zimetolewa leo baada ya Rais Magufuli kukutana na kigogo wa juu wa benki hiyo barani Afrika.
Mama huyo anang’atuka mwishoni mwa Desemba 2018 atarejea nchini Uholanzi kuchukua majukumu mapya katika benki ya Rabobank yenye ubia na NMB.
Imeporomoka kwa nafasi saba katika ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya ufanyaji biashara hadi nafasi ya 144 katika ripoti ya mwaka huu kutoka nafasi ya 137 mwaka jana.
Kati ya mwaka 2008 hadi Septemba 2018 zimetokea ajali 38,237, zimeondoa uhai wa watu 8,237 na kuwaacha wengine na majeraha.
Wafanyabiashara watakaokiuka onyo hilo kuchukuliwa hatua kali za kisheria
Kwa wastani mtu mmoja anakunywa lita 47 za maziwa kwa mwaka ikiwa ni pungufu mara nne ya kiwango kinachopendekezwa na FAO cha lita 200 kwa mwaka.
FAO yashauri vijana wabaki vijijini kuendeleza kilimo lakini wapatiwe ujuzi na teknolojia ya kisasa kuboresha maisha yao.
Ni muendelezo wa kuunga mkono juhudi za Umoja wa Mataifa kuwaokoa wanyamapori ambao wako hatarini kutoweka.
Utajumuisha makampuni nane ambayo yanajishughulisha masuala ya afya, usafirishaji na nishati kwa ajili ya kukutana na viongozi na watendaji wa Serikali.
Serikali imesema kuwa asilimia 9.1 ya Watanzania wenye umri kati ya miaka 25 hadi 64 wana kisukari sawa na watu tisa kwa kila 100 nchini.
Ni wa nyumba 7,460 katika eneo la Dege Beach zilizojengwa kwa ubia kati shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio Housing Estate Limited (AHEL).
Rostam Aziz ampongeza Rais Magufuli kwa kuboresha miundombinu rafiki ya kibiashara kwa misingi imara ya ukuaji wa uchumi.
Idadi ya wahitimu wa kiume ni karibu mara mbili zaidi ya wahitimu wa kike.