Uongozi, mashabiki Simba washtushwa kutekwa Mo Dewji
Msemaji wa Klabu hiyo, Haji Manara amesema suala la kutekwa kwa mwekezaji wao sasa litazungumzwa na vyombo vya dola pekee.
Msemaji wa Klabu hiyo, Haji Manara amesema suala la kutekwa kwa mwekezaji wao sasa litazungumzwa na vyombo vya dola pekee.
Wasichana wanahitaji vitu vikubwa vinne ambavyo ni pesa, elimu, afya nzuri na nafasi.
Taarifa za awali zinasema Mo Dewji ametekwa asubuhi ya leo (Oktoba 11, 2018) na raia wawili wa kigeni wakati akiingia katika hoteli ya Collesseum iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Uamuzi huo unatokana na kamati ndogo aliyounda kuchunguza mwenendo na utendaji wa soko hilo na kubaini changamoto kuu za sheria, muundo ya uendeshaji wa soko, mfumo wa mapato ya uvuvi na mazao ya uvuvi.
Mipango hiyo ni pamoja na kuwekeza katika mifumo ya kidijitali na kutumia mitandao ya kijamii kuwafikia wananchi wengi wa vijijini.
Ni biashara aliyoazimia kuifanya tangu akiwa mdogo ili kuendeleza wito walioitia kwenye familia yake.
Awali walikuwa wanatumia umeme wa kilovoti 100, jambo lilozuia ukuaji wa viwanda vidogovidogo vya kusaga na kukoboa nafaka, kukamua mafuta yatokanayo na uchomeleaji vyuma.
Hatua hiyo ni kujibu kero ya muda mrefu ya wakulima wa mazao ya mbaazi na choroko kukosa soko la uhakika kwa kuongeza thamani ya mazao hayo hapa nchini.
Yaeleza kuwa taarifa sahihi za hali ya hewa ni muhimu katika uhifadhi mali kale na utamaduni wa Mtanzania.
Changamoto inayojitokeza ni Tanzania kutumia takribani Sh100 bilioni kila mwaka kuagiza samaki, maziwa na nyama kutoka nje ya nchi licha ya kuwa na mifugo mingi.
Wanafunzi hao ni wale ambao shule zao zimehusika na udanganyifu na wizi wa mitihani iliyofanyika Septemba mwaka huu.
Watakiwa kuongeza kasi ya kuripoti habari zilizopo katika sekta ya nishati jadidifu ili kuwafunguliwa wananchi fursa mbalimbali ikiwemo ajira na kukuza shughuli za uchumi katika maeneo ya vijijini.
Ameagiza wafanyakazi wawili wa mamlaka hiyo waondolewe kwenye kazi wanazofanya sasa na kupangiwa kazi nyingine baada ya kuwepo kwa tuhuma za ulevi wa kupindukia na kuikosesha Serikali mapato.
Asema visipodhibitiwa mapema vitageuka janga kwa uchumi wa Taifa, mazingira na afya za wananchi.
Marejesho hayo yanazihusu kampuni na wafanyabiashara mbalimbali nchini wakiwemo waagizaji wa sukari za viwandani ambao madai yao yamehakikiwa kuanzia Septemba, 2018.
Ni Mjukuu wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza aliyeingia hapa nchini jana atakuwepo kwa siku 4 hadi tarehe 29 Septemba, 2018.
Bodaboda, daladala wafurahia foleni kupungua huku wafanyabiashara wa bidhaa ndogondogo wakilia kukosekana kwa wateja katika eneo hilo kwa sasa.
Rais Magufuli asema zabuni ya ujenzi wa daraja jingine la juu la Chang’ombe imeshatangazwa.
Weledi wake na utumishi wa muda mrefu katika uhandisi wafanya flyover ya kwanza Tanzania ipewe jina lake.
Asema baadhi ya mapendekezo yaliyopo katika ripoti hiyo yamelenga kukwamisha mradi huo unaotarajiwa kuzalisha umeme wa 2100MW.