‘SMS kwa Maisha’ yazinduliwa kupunguza uhaba wa dawa Zanzibar
Teknolojia hiyo mpya ya matumizi ya simu inalenga kupunguza uhaba wa madawa na kuboresha afya za watu Zanzibar.
Teknolojia hiyo mpya ya matumizi ya simu inalenga kupunguza uhaba wa madawa na kuboresha afya za watu Zanzibar.
Usafiri huo unaratibiwa mtandaoni unakusudia kupunguza gharama za usafiri na kuwaongezea abiria usalama.
Maboresho hayo yanamuongezea mzazi nguvu ya kudhibiti maudhui anayopaswa kuangalia mtoto mtandaoni.
Mvua hizo zinaweza kusababisa mafuriko katika mitaa na foleni kali maeneo ya mjini.
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yavifuta Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji cha Tabora (TEKU) na Chuo kikuu Mt. Yohana Tanzania Kituo cha Msalato, Dodoma(SJUT).
Mafuriko hayo yalitokana na uamuzi wa Rais wa Malawi wa wakati huo, Kamuzu Banda kuzuia maji ya Ziwa Nyasa yasiende upande wa Msumbiji.
Tafiti zinaonyesha watoto hawapati muda wa kucheza kwasababu ya ukosefu wa vifaa na viwanja vya michezo shuleni.
Madini hayo yaligunduliwa miaka 51 iliyopita na Mvumbuzi, Jumanne Ngoma eneo la Mererani, Manyara.
. Mzee Ngoma amshukuru Rais John Magufuli kwa kutambua kazi yake na kumpa pesa ya matibabu
Mashine hizo zisipotumiwa vizuri zinaweza kuwa chanzo cha kusambaa kwa bakteria wa magonjwa mbalimbali.
Tume hiyo ya watu saba itafanya kazi kwa mwezi mmoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atawapatia hadidu za rejea kwa ajili ya uchunguzi huo.
Baadhi ya wateja wa visumbuzi vya DSTV, ZUKU na AZAM TV wamesema hawakupata wito huo licha ya kulipia chaneli za bure.
Ni bodi ya Wakurugenzi Sumatra na Bodi ya Washauri TEMESA.
Mtu aliyepatwa na janga kama hilo hupata hofu, kutengwa, kukosa usalama, upweke, sonona, kusalitiwa, kujilaumu, kushindwa kupata umakini na utulivu wa kufikiri.
Mtu huyo aliyeokolewa ni fundi mkuu wa kivuko hicho cha Mv Nyerere.
Ina ukubwa wa kilometa za mraba 52 tu ikiwa ni Hifadhi ya Taifa ya pili kwa udogo hapa nchini.
Rais amesema katika kipindi hicho cha maombolezo, anaamini kila mtu kwa imani yake atawaombea marehemu waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
Nchi 39 zikiwemo za Kusini na Mashariki mwa Afrika zina uhitaji mkubwa wa chakula.
Simu hizo zitatumia mfumo wa ujumbe mfupi kupokea na kutuma taarifa za uchunguzi binafsi.
Wimbo huo ulioingia Youtube Aprili 14, 2018 umetazamwa na watu wengi zaidi tangu mwaka huu uanze na kuzifunika nyimbo zingine za wasanii maarufu Tanzania.
Ni ule wa kujenga shimo la choo kwa mtindo wa tanuru lenye bomba dogo la kutolewa hewa.