Nsekela ateuliwa na CRDB kurithi mikoba ya Dk Kimei
Bosi huyo mpya wa CRDB ana uzoefu wa miaka 20 akiwa amebobea katika masuala ya kimataifa ya kibenki na fedha.
Bosi huyo mpya wa CRDB ana uzoefu wa miaka 20 akiwa amebobea katika masuala ya kimataifa ya kibenki na fedha.
Hatua huyo imelenga kuhakikisha wanahabari wanatoa elimu kwa mkulima namna ya kufanya kilimo cha kisasa na chenye tija kitakachoongeza kipato.
Itakuwa ni mara ya kwanza kwa tuzo za EJAT kutoa fursa kwa Wanahabari wa habari za mtandaoni tangu zilizopoanzishwa mwaka 2009.
Onyo hilo linakuja siku chache baada ya watu wawili kukamatwa wakidaiwa kuchezea na kukanyaga noti za Tanzania
Tiba shufaa ni utaratibu wa matibabu unaoboresha ubora wa maisha ya mgonjwa na kuipunguzia familia gharama za kuuguza magonjwa ya muda mrefu.
Awamu ya pili ya Mpango wa Kimataifa wa Huduma za Hali ya Hewa (2018-2019) una lenga kuongeza ujasiri wa watu kuhusu maafa na mabadiliko ya hali ya hewa katika nchi za Malawi na Tanzania.
Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo wadau wa sekta ya fedha jinsi ya kutambua na kukabiliana na matukio ya utakatishaji fedha yanayotokea katika benki.
Yabaini uwepo wa toleo (batch) la dawa bandia ya binadamu ya vidonge aina ya Duo-cotexcin sokoni.
Lengo la jukwaa hilo ni kutafuta njia mbadala za kukabiliana na tatizo la lishe katika nchi za Afrika.
Wavuvi wa Magharibi mwa Ziwa Victoria hasa mikoa ya Kagera na Geita watahadharishwa kupungua kwa mavuno ya samaki kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa miezi mitatu ijayo.
Ni chombo muhimu katika kuibua mbinu mpya za kukabiliana na ushindani wa soko na huduma za kifedha.
Matumizi ya barabara hiyo ya juu yatasaidia kuokoa asilimia 80 ya muda ambao hutumika kusafiri kutoka Posta kwenda ‘Airport’.
Maagizo hayo ni pamoja na mikoa kutenga bajeti kila mwaka kwa ajili ya kufanya tamasha la Urithi Festival.
Maboresho hayo kuwafaidisha zaidi wanasiasa na wanamuziki kuliko watu wenye wafuasi wachache.
Baadhi ya wazazi wasema programu hizo zimefanya watoto wao wajue kuhesabu na kutaja herufi kabla ya kwenda chekechea.
Hali hiyo huwa na athari katika utendaji wa ubongo wa binadamu ambapo inaweza kumpunguzia uwezo wake wa kibunifu na kufikiri
Maboresho hayo yatawarahisishia watumiaji wa mtandao huo kupata haraka vitu wanavyotafuta mtandaoni.
Utajiri mkubwa ni uwepo wa misitu ya asili ambayo inatoa makazi kwa wanyamapori wa aina mbalimbali wakiwemo Tembo, Twiga, Mbega mweusi na mweupe.
Wasomi wataka mjadala wa kitaifa na tathmini ya mbegu hizo ifanyike kabla ya kugawa kwa wakulima.
Bei ya simu hiyo ya Sh2.3 milioni ni zaidi ya wastani wa kipato cha Mtanzania kwa mwaka.