Apple waingiza sokoni simu mpya zinazotumia mfumo wa ‘eSIM’
Simu hizo za iPhone ni mapinduzi ya teknolojia ya kisasa yasiyohitaji kadi tambulishi (SIM Card).
Simu hizo za iPhone ni mapinduzi ya teknolojia ya kisasa yasiyohitaji kadi tambulishi (SIM Card).
Dar es Salaam. Moja ya changamoto inayoikabili miji na majiji yanayokuwa kwa kasi duniani likiwemo Jiji la Dar es Salaam ni maafa na majanga yatokanayo na nguvu za asili na shughuli za kibinadamu.
Mteja ataweza kununua programu (Apps) kwa kutumia salio lake la simu na hatalazimika kwenda benki tena.
Yawapa siku 50 kufanya hivyo la sivyo mkono wa sheria utachukua nafasi yake
Yatoa sifa za makundi ya wanafunzi watakaotakiwa kuomba katika dirisha hilo litakalomalizika Septemba 14, 2018.
Ni kile kinachotumia mfumo wa matone kinachopunguza upotevu wa maji na kuongeza mavuno.
Inakadiriwa kuwa nyumba 200,000 huhitajika kila mwaka kukidhi ongezeko la idadi ya watu.
Ni mafunzo ya kuwaongezea ubunifu zaidi wa masuala ya intaneti kwa wote (Internet of Things) na matumizi ya taarifa lukuki za kompyuta (Big Data) ili kuongeza ufanisi kazini.
Wazindua huduma itakayoweza wanunuzi wa bidhaa na huduma mtandaoni kufanya malipo kupitia M-Pesa mahali popote ulimwenguni.
Mkakati uliopo ni kumpunguzia majukumu ya kiutendaji na kuwaachia watu wengine kuongoza kampuni hiyo.
Lengo ni kuwafundisha watoto wakike wengi zaidi kuhusu masuala ya coding.
• Ni moja ya mradi wa Vodacom katika kurudisha kwa jamii.
Waaswa kufuata maadili ya taaluma ya kazi zao ili waweze kuaminika zaidi na jamii na wateja wao.
Yaalikwa kama mshirika maalum kutoka Afrika katika maonyesho hayo yanayofanyika kwa mara ya 15 nchini China.
Wanafunzi hao wana mpango wa kuliboresha gari hilo litumie umemejua ili kuwa sehemu ya uhifadhi wa mazingira kwa kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa.
Bei ya zao hilo itaendelea kushuka kutokana na kuongezeka kwa mavuno na serikali kupiga marufuku kusafirisha mazao nje ya nchini.
Mashamba hayo yamefungua fursa mbalimbali za kilimo na kuufanya mkoa huo kuongoza nchini kwa kilimo cha mihogo.
Awali msitu wa Magoroto ulikuwa mashamba ya Watawala wa Kijerumani na baadaye ukahifadhiwa kama sehemu muhimu yenye uoto wa asili.
Hatua hiyo inakuwaja baada ya DSTV, AZAM TV na ZUKU kutii amri ya kuondoa chaneli za bure kwenye visimbuzi vyao.
Uteuzi huo unakuja wakati kitendawili cha upatikanaji wa kibali cha kufanya kazi nchini cha Sylivia Mulinge aliyetakiwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji kuanzia Juni mosi kikiwa hakijatatuliwa.
Kifaa hicho kinapunguza uwezekano wa majanga ya moto katika majengo ya biashara na makazi ya watu ambayo husababishwa na hitilafu za umeme.