Rasmi Kamishna Diwani Athumani bosi Takukuru
Kabla ya uteuzi huo mpya alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kagera.
Kabla ya uteuzi huo mpya alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kagera.
Waambiwa na Balozi Kijazi watafute fursa kwenye sekta ya ujenzi nchini badala ya kulalamikia ushindani.
Wajasiriamali hao wanaweza kukodi ofisi kwa muda wanaotaka kutumia na kupata mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali.
Maandalizi hafifu yatajwa kuchochea wanafunzi kutumia mbinu zisizo halali kufaulu mtihani.
Kwa miaka mitatu mfululizo shule za Serikali hazijafanikiwa kuingia 10 bora kitaifa
Wanafunzi watakiwa kujiamini na kuondoa hofu na mashaka kuelekea siku ya mtihani.
• Wadau wa elimu watoa maoni yao mbalimbali kuhusu mtihani huo wa kuhitimu shule ya msingi.
Asili yake imetokana na mwindaji maarufu wa kienyeji aliyeishi katika maeneo hayo ya hifadhi akijulikana kama “KATABI”
Licha ya mauaji kupungua, bado watu wenye ualbino wana hofu ya kushambuliwa wakati wa uchaguzi mkuu ujao.
Wadau washauri vijana wajengewe msingi mzuri wa kusoma na kuendeleza vipaji vyao wakiwa vyuoni
Ni mara ya kwanza kwa Tanzania kushiriki na kushinda katika mashindano hayo.
Wanafunzi wakwepa kutumia vyoo vya shule kwa kuhofia magonjwa ya mlipuko.
Shule hiyo ni tishio kwa shule kongwe za Serikali na binafsi baada ya kudumu kwenye 10 bora kitaifa kwa miaka saba mfululizo.
Kifurushi hicho kinampatia msichana uhakika wa afya bora kwa kumuondolea hatari ya kupata VVU na mimba zisizotarajiwa.
Umemejua waongeza ufaulua na idadi ya wanafunzi shuleni.
Ufadhili utazingatia gharama za miradi hiyo, uhitaji, usawa wa jinsia, uendelevu pamoja na utendaji wa vituo.
Asisitiza makontena yaliyozuiliwa bandarini lazima yalipiwe kodi kwa mujibu wa sheria.
Mafanikio hayaangalii umri bali ni mipango inayoambatana na bidii, uvumilivu kufikia malengo uliyojiwekea.
Ziara hiyo inatarajiwa kuwa ya siku saba akizindua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ni msaada kwa wafanyabiashara wa bidhaaa zinazoharibika mapema zikiwemo samaki.
Itasaidia kupunguza ulemavu na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani.