Mnada wa kahawa kuwanufaisha wakulima?
Biashara haramu ya mipakani yafungwa kudhibiti mapato ya serikali.
Biashara haramu ya mipakani yafungwa kudhibiti mapato ya serikali.
Wataalamu wa usalama mtandaoni wanashauri elimu itolewe zaidi juu matumizi sahihi ya mtandao.
Ni wale wenye mawazo ya kibunifu yenye uwezo wa kutatua changamoto za jamii.
Kimbilio kwa wanaoishi karibu na kumbi za starehe, nyumba za ibada.
Utaboresha miundombinu na taarifa za hali ya hewa nchini
Maboresho hayo yanataka mtu aliyethibitishwa na NBS kufanya utafiti kupata idhini ya ofisi hiyo kabla ya kuwasilisha matokeo hayo kwa umma.
Ubora wa bidhaa na mfumo wa malipo katika ununuzi wa bidhaa mtandaoni ni changamoto nyingine inayohitaji ufumbuzi wa kudumu.
Utafiti unaonyesha kuwa wanawake wana uwezo wa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja kuliko wanaume ikiwemo masuala ya kazi.
Ziara hiyo kuanisha maeneo yatakawekwa kwenye uangalizi wa mazingira nyeti
Ni Eshangazi ambaye ana mwaka mmoja sasa tangu aanzishwe nchini akitaka vijana watete naye kuhusu masuala ya afya ya uzazi.
Ripoti mpya ya LHRC inaonyesha kuwa ubaguzi wa kijinsia umekithiri katika sekta ya biashara nchini.
Katika hatua za awali Windlab watazalisha megawati 100 zitakazoingia kwenye gridi ya Taifa.
Mjasiriamali mwenye nia ya kupeleka ubunifu na ushonaji wa nguo nje ya mipaka ya Tanzania.
Shule sita kati ya 15 vinara ndani ya mkoa wa Dar es salaam zimeunda orodha ya dhahabu kwa kuwa hazijawai kutoka 10 bora kwa miaka yote mitatu
Wadau wasema ni wakati wa vyama vya wafanyakazi kutetea haki za wanachama wao.
Upatikanaji wa data utafanikisha maamuzi sahihi ya usalama wa chakula
Mbunifu awe na wazo linaloweza kutatua changamoto za jamii inayomzunguka
Shughuli za ndege zimeongezeka katika kiwanja cha ndege cha Dodoma mwaka 2017 kwa asilimia 49.2.
Viwanda viwili vitakavyojengwa na kampuni hiyo vitasaidia kupunguza uhaba wa sukari unaolikabili Taifa.
Ndoto yake ni kutengeneza sabuni zenye ubora zitakazopenya kwenye soko la ushindani nchi na kimataifa.