Bajeti ofisi ya Makamu wa Rais yapaa, robo kutumika kwenye maendeleo
Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka 2021/22 imeongezeka kwa asilimia 2.5 hadi kufikia Sh28.7 bilioni
Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka 2021/22 imeongezeka kwa asilimia 2.5 hadi kufikia Sh28.7 bilioni
Serikali imewataka waajiri kote nchini kuweka mifumo madhubuti ya usalama mahala pa kazi ili kuwakinga wafanyakazi na kuwalinda na hatari zinazoweza kutokea wanapotekeleza majukumu yao ya kazi.
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za kampuni ya Motorola, kaa mkao wa kula maana wiki hii wanakusudia kuingiza sokoni simu mpya aina ya Moto G20 ili kuendeleza ushindani katika soko la simu duniani.
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema wizara yake kupitia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wanafanya utafiti na kuzalisha mbegu bora za mananasi ili yakidhi viwango vya viwanda vya ndani na masoko ya kimataifa.
Ni simu iliyotengenezwa na kampuni ya Samsung na kuingia sokoni hivi karibuni huku ikiwa na programu nyingi zinazopatikana kwenye simu zinazouzwa kwa bei ya juu.
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amesema Serikali iliamua kutokufanya sherehe za Muungano wa Tanzania mwaka huu kutokana na tukio la hivi karibuni la kifo cha Hayati Rais John Magufuli.
Zipo changamoto ambazo unaweza kuzipatia ufumbuzi na ukatoboa lakini zingine zinahitaji ukubali matokeo yaani utafute mwelekeo mwingine.
Kimbunga Jobo kilichopo bahari ya Hindi kwa sasa kipo umbali wa kilomita 200 mashariki mwa kisiwa cha Mafia. Kimbunga hicho kimepungua nguvu kwa haraka baada ya kuingia katika mazingira yenye mzunguko wa u
Kutoa kafara usingizi na kuamka mapema ni kati ya vitu vya mpito utakavyokutana navyo unapoelekea kupata mafanikio yako.
Ili kuepusha hasara ambazo hazina msingi ni vyema kuhakikisha unakuwa makini kabla ya kukumbana na kadhia ya kesi yako kufutwa na kulipa gharama za kesi.
Serikali ya Tanzania imepokea nyongeza ya kiasi cha Euro milioni nne (Sh11.3 bilioni) kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji mkoani Kigoma kutoka Serikali ya Ubelgiji.
Ni kwa kuepuka utegemezi na fuata sheria na kanuni za ofisi yako.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuwa kimbunga Jobo kinachozidi kusogea ukanda wa Pwani wa Tanzania kinatarajiwa kutua Dar es Salaam Aprili 25 huku kikitarajiwa kuleta athari za upepo mkali, mawimbi makubwa baharini na mvua kubwa.
Inamhusu binti anayepambana na yasiyowezekana kumrudisha baba yake ambaye amegeuzwa na sanamu.
Kiongozi huyo amesema serikali itatilia mkazo katika uwekezaji na kuboresha sekta za kilimo, utalii na ufugaji.
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao ya kijamii kufanya uchanganishi na kutoa taarifa zisizo za kweli na kuwa Serikali haitawafumbia macho.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema dira na muelekeo wa Serikali ya awamu ya sita anayoingoza ni kudumisha mambo yaliyofanywa katika awamu zilizopita, kuyaendeleza mema yaliyopo na kuleta mengine mapya.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali yake itaendelea kulilea Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kimkakati ii liweze kujiendesha kwa ufanisi ikiwemo kulitua mzigo wa madeni makubwa na kulipa ahueni ya baadhi ya tozo na kodi.
Baraza la Habari Tanzania (MCT) limelaani kuendelea kwa matukio ya unyanyasaji wa waandishi wa habari unaofanywa na vyombo vya dola na baadhi ya viongozi wa Serikali pamoja na wananchi.
Rais Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge jijini Dodoma kwa mara ya kwanza tangu aapishwe Machi 19, 2021.