Watahiniwa zaidi ya 87,000 kidato cha sita kikaangoni leo
Watakaofaulu mtihani huo wa Kidato cha Sita (ACSEE) watapata fursa ya kujiunga elimu ya juu katika vyuo vya kati na vyuo vikuu nchini.
Watakaofaulu mtihani huo wa Kidato cha Sita (ACSEE) watapata fursa ya kujiunga elimu ya juu katika vyuo vya kati na vyuo vikuu nchini.
Robo tatu au asilimia 76 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2017 walipata daraja la IV na sifuri.
Mark Zuckerberg kuwaunganisha makapela zaidi ya milioni 200 wa Facebook, ikiwa ni huduma maalum tofauti na inayotumika sasa ya watu kutongozana ‘kienyeji’ mtandaoni.
Shule ya sekondari ya ufundi ya Iyunga imefanikiwa kuingia katika shule 100 vinara mara moja tangu mwaka 2012 ndani ya miaka sita iliyopita.
Asilimia 52 ya wanafunzi wote elimu ya msingi wilayani humo ni wasichana na ndiyo inayoongoza kwa udahili wa watoto wakike.
Ni moja ya Wahandisi vinara wanawake katika kampuni za simu Tanzania.
Anakuwa msanii wa kwanza nchini kuingia kandarasi ya ubalozi wa chapa ya Uber takribani miaka miwili tangu kampuni hiyo ilipoanza kutoa huduma zake jijini Dar es Salaam.
Ubunifu na kujiamini ni nguzo muhimu zitakazokusaidia ufanikiwe zaidi katika biashara.
Idadi ya Wanawake wanaosoma elimu ya juu bado ni ndogo ukilinganisha na wanaume.
Matumizi ya teknolojia hiyo yataokoa gharama za matibabu kwa wagojwa kwa takriban mara tano ikilinganishwa na matibabu yanayotolewa nje ya nchi
Hatua hiyo inafanana na utaratibu mpya wa Serikali ya Tanzania wa kuzitoza tozo za usajili na leseni blogu, tovuti na televisheni za mtandaoni.
Maji yasomba Daraja la Merera lililopo kilomita moja kutoka kwenye lango la kuingilia katika hifadhi hiyo.
Kuna mambo ya msingi ya kuzingatia ili kuzuia gharama za ziada zisizo za lazima, kuongeza usalama na kulinda heshima yako na uhusiano na madereva wa magari hayo.
Ni Sylvia Mulinge atakayempokea mikoba Ian Ferrao kuanzia Juni mwaka huu.
Inadaiwa wakazi wengi wa vijijini wenye umeme huutumia tu kwa ajili ya matumizi ya msingi ya kuwasha taa, kupiga mziki na kuchajia simu.
Watumiaji kutoka mikoa ya Kaskazini mwa nchi wao hawataguswa na maumivu ya bei mpya za mafuta kwa kuwa Bandari ya Tanga haikuingiza shehena mpya ya nishati hiyo.
Utafiti wa kujua mlengwa wa bidhaa au huduma zako na hali halisi ya soko vitakufanya upunguze vihatarishi lukuki ikiwemo kupunguza kiwango cha hasara.
Takriban nusu ya shule hizo king’ang’anizi kwenye orodha hiyo, ni za wasichana.
Idadi hiyo ni mara tatu zaidi ya watumiaji wa intaneti waliokuwepo mwaka 2012.
Kujituma, kujiamini na hamu ya kuongeza mtandao wa kujifunza na kufanya nao biashara ndiyo nguzo kwa kila mjasiriamali.