Ufanye nini unapokuwa katika mahusiano yanayokupa msongo wa mawazo?
Mahusiano yanayokupa msongo wa mawazo ni yale yanayokunyima amani na kukuacha ukitamani kuondoka.
Mahusiano yanayokupa msongo wa mawazo ni yale yanayokunyima amani na kukuacha ukitamani kuondoka.
Ndoto yako haitakamilika kama hujachukua hatua na kuishinda hofu iliyopo ndani yako inayokuambia haiwezi kuwa halisi.
Ni filamu ambayo imeongelea maisha ya mwanamke wa Kitanzania kwa herufi kubwa
Kifo chake kiliacha simanzi na majonzi kwa wananchi wa Tanzania lakini ataendelea kukumbukwa daima huku moja ya kumbukumbu hizi ni kuasisi ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi lilipo Ziwa Victoria ambalo ujenzi wake unaendelea.
Serikali imetenga Sh121.9 bilioni katika mwaka wa fedha wa 2021/22 ambazo zitatumika kuboresha miundombinu na kutangaza vivutio vya utalii ili kuongeza mapato na idadi ya watalii wanaokuja Tanzania.
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka Wabunge wanaotumia usafiri wa bodaboda kuingia na kutoka bungeni kuwa makini na madereva wanaowaendesha ili kulinda usalama wao.
Ni simu ya Xperia1 mark 3 ambayo imewalenga wadau wa filamu, wapiga picha, wadau wa michezo ya simu na watengeneza muziki.
Njiapanda ya kazi husababishwa na mambo mengi ikiwemo kukosa furaha ya kazi yako na kuhisi maisha mengine yanakupita.
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya Watu (UNFPA) imeeleza kuwa takribani nusu ya wanawake wote katika nchi zinazoendelea duniani wananyimwa haki ya kuamua kuhusu miili yao ikiwemo tendo la ndoa, uzazi wa mpango au kutafuta huduma za afya
Ni pamoja na kuepuka maneno ya kejeli pale wanaposhindwa kununua bidhaa au kuchagua huduma yako.
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema katika bajeti ya mwaka 2021/22 wizara yake itaweka mikakati mbalimbali ya kukuza na kuimarisha sekta ya umwagiliaji ikiwemo kubadilisha mfumo wa utendaji wa Tume ya Umwagiliaji (NIC) ili kuondokana na matatizo
Unaweza kusema ni maumivu kwa wakulima wa Tanzania baada ya bei ya mahindi kushuka kwa asilimia 39.5 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliolipita
Serikali ya Tanzania imesema imeshakamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu, hatua ambayo itaongeza idadi ya ndege inazozimiliki kufikia 12.
Ni baada ya kujiridhisha kama miundombinu inayohakikisha usalama wao na mali zao ipo katika maeneo husika.
Mtarajio ya wafanyakazi ni kuona anatoa mwelekeo mpya wa utatuzi wa changamoto zao za muda mrefu ikiwemo nyongeza ya mishahara.
Imebainika kuwa mfumo wa ukusanyaji wa mapato wa Wizara ya Maliasili na Utalii unakabiliwa na changamoto mbalimbali za tehama zinazochangia kuvujisha mapato ya Serikali.
Ni pamoja na kunawa mikono kabla ya kuandaa chakula na baada ya kukutana na watu mbalimbali.
Walimu na wanafunzi waelimishwe kwa uwazi kuhusu dalili na kinga ya COVID-19. Pia umuhimu wa kunawa mikono, kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yasema mvua hiyo inaweza kusababisha athari mbalimbali.
Athari zinazoweza kujitokeza ni shida ya usafiri na kusimama kwa muda kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili.