Swali la kujiuliza kwa kila anayetaka kufanikiwa katika maisha
Jiulize wewe ni nani? Unafanya nini kuboresha maisha yako?
Jiulize wewe ni nani? Unafanya nini kuboresha maisha yako?
Abaini uwepo wa kadi 426,757 zenye thamani ya Sh3.4 bilioni ambazo zimeharibika na hazifai kwa matumizi na matumizi yasiyo sahihi ya taarifa za watu waliosajiliwa kwenye kanzidata ya NIDA.
Kabla ya kupata chanjo utapewa ushauri na mto huduma za afya kama unastahili kupata chanjo au la!
Bei ya petroli na dizeli imepanda kwa miezi miwili mfululizo nchini Tanzania, jambo linalowafanya wamiliki wa vyombo vya moto kutoboa zaidi mifuko yao ili kuipata nishati hiyo muhimu katika ukuaji wa shughuli za kiuchumi.
Hadi jana Aprili 7 watu zaidi ya 200,000 katika nchi za Afrika Mashariki walikuwa wameambukizwa ugonjwa wa Corona huku 3,067 kati yao wakifariki dunia.
Ufafanuzi huo unawaweka njiapanda wadau wa habari ambao walidhani kuwa maelekezo ya Rais Samia yalihusu vyombo vyote vya habari na kumpongeza kwa kuongeza uhuru wa habari.
Hakikisha unapata hewa safi, mazingira tulivu, epuka mikusanyiko ya watu, vaa barakoa, nawa mikono na tumia kitakasa mikono.
Iwapo watendaji wa Serikali watatekeleza agizo hilo la Rais Samia kama lilivyoagizwa, kada hiyo sasa itapata angalau itaanza kupata matumaini mapya ya kupata ajira baada ya ukame wa muda mrefu.
Shirika la Mfumo na Muundo wa Muungano wa Jamii Tanzania (Mujata) limeiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kutoziondoa picha za viongozi wakuu wa nchi waliostaafu au kufariki kwenye maofisi ili kutopoteza kumbukumbu kwa waliyotenda hapa nchini.
Ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria na kanuni zilizowekwa ili isionekane Serikali inaminya uhuru wa vyombo vya habari.
Amesema anakusudia kuunda kamati ya wataalamu wachunguze kwa undani suala la ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) ili iishauri Serikali hatua madhubuti za kuchukua.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha makatibu wakuu, manaibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi aliowateua Machi 5, 2021.
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Maendeleo ya petroli Tanzania (TPDC), Thobias Richard aliyemteua jana Aprili 4 mwaka huu.
Huenda Jumatatu ya Pasaka isiwe njema kwa baadhi ya vigogo wa taasisi za Serikali akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko ambaye anachunguzwa baada ya kuondolewa katika nafasi zao jana.
Ni pamoja na kuwa makini na fedha unayoitumia na kufahamu vitu ambavyo familia yako inapenda.
Hakikisha una mawasiliano ya simu ya watoa huduma, vifaa vya kujikinga na vyakula vitakavyokusaidia wakati unaumwa.
Baada ya chaji na kamera kupigwa vikumbo na wababe wa sasa akiwemo Samsung na iPhone, Sony imejizatiti upya.
Ukiitumia vizuri itakupa heshima na mafanikio unayotaka.
TCRA yasema usitishaji huo utatoa nafasi kwa watoa huduma kupanga upya bei za vifurushi kwa ufanisi na kufanya uchambuzi wa kina kwa ajili ya kulinda maslahi ya watumiaji.
Watumiaji wa huduma za intaneti na simu nchini Tanzania Aprili 2 wameamka na bei mpya za vifurushi ambazo wengi wanaona ni maumivu zaidi ya walivyotarajia kiasi cha kuwaongezea gharama za maisha.