Tanzania yarekodi wagonjwa wapya 176 wa Corona ndani ya siku moja
Kiwango hicho ni kikubwa kutangazwa ndani ya siku moja tangu Serikali ianze upya kutoa takwimu Juni 28 mwaka huu.
Kiwango hicho ni kikubwa kutangazwa ndani ya siku moja tangu Serikali ianze upya kutoa takwimu Juni 28 mwaka huu.
Baadhi wanauona ugonjwa huo kama wa kawaida na hawachukuii tahadhari zinashauriwa na wataalamu kiasi cha kuhatarisha afya zao.
Safari hiyo inawasogeza watafiti watatu wenye lengo la kukomboa maisha ya wanadamu karibu na vifo vyao.
Waziri wa Afya Dk Dorothy Gwajima aeleza kuwa hadi Julai 21, 2021 wagonjwa 682 walikuwa wakiugua maradhi hayo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ramadhan Ng’anzi amesema Mbowe alisafirishwa Jumatano asubuhi kupelekwa Dar es Salaam kwa ajili ya makosa ya jinai.
Usiposamehe unabaki kwenye kifungo cha chuki huku kinyongo chako kikikutafuna wewe mwenyewe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewakumbusha na kuwasisitiza wananchi wa Tanzania waendelee kuchukua hatua za kujikinga na ugonjwa wa Corona (Uviko-19).
Baadhi ya wakulima wa Halmashauri ya mji wa Njombe wamesema hawana uhakika kama watafaidika na shughuli za kilimo msimu huu kutokana na kupanda kwa bei za pembejeo ikiwemo mbolea.
Shirika la Kazi la Umoja wa Mataifa (ILO) limesema kuwa wanawake wachache kati ya wengi waliopoteza ajira kutokana na athari za janga la Corona (Uviko-19) watakaoweza kupata kazi nyingine ikilinganishwa na wanaume.
Ni pamoja na sehemu za fukwe na migahawa ili kukutana na marafiki kubadilishana mawazo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Roberth Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko ya vikundi mkoani Mwanza visivyokuwa na ulazima ili kujikinga na ugonjwa wa Corona (Uviko-19) wimbi la tatu.
Bilionea Jeff Bezos hivi sasa anatarajia kwenda angani na chombo kilichotengenezwa na kampuni yake ya Blue Origin.
Mtu anaweza kupata minyoo ya tumboni kwa kula chakula au kutumia maji ambayo yana vimelea vya maambukizi.
Kuzima injini ya gari na kutokutumia simu wakati unajaza mafuta kwenye gari ni njia mojawapo ya kuepuka madhara ya kulipuka kwa matanki ya mafuta.
Ni njia rahisi ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Uviko-19 hasa kwenye mikusanyiko ya watu.
Endapo watu watapata chanjo, itaepusha kusimama kwa shughuli za kijamii na kiuchumi.
Ni uraghabishi ulioshawishi watu kuwabana viongozi wao vijijini ili wananchi wapate maendeleo.
Ni chanjo yenye matoleo mawili dhidi ya virusi vya Corona.
Hakikisha unavaa vizuri na unaifua kila siku baada ya kuitumia.
Kwenye biashara hamna kutegemea bahati, lazima ujenge msingi wa kuwa na wateja ambao watanunua bidhaa zako.