Mamilioni ya dozi za chanjo ya Corona yatolewa duniani
Zaidi ya dozi milioni 462.8 za chanjo dhidi ya Corona zimeshatolewa ulimwenguni kwa watu mbalimbali.
Zaidi ya dozi milioni 462.8 za chanjo dhidi ya Corona zimeshatolewa ulimwenguni kwa watu mbalimbali.
Katika kipindi ambacho ulimwengu unakabiliwa na ugonjwa wa virusi vya corona, ni rahisi sana kwa baadhi ya watu kupata changamoto za afya ya akili lakini suluhu imepatikana.
Ni baada ya Mbunge wa jimbo hilo, Dk Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania leo.
Wabunge wa Bunge la Tanzania wamemthibitisha Dk Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais kwa kura 363 walizopiga leo Machi 30 Bungeni jijini Dodoma huku kukiwa hakuna kura ya hapana.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi wiki iliyopita ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu dhidi ya taasisi hiyo, sasa anashikiliwa na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takuku
Rais Samia Suluhu Hassan amempendekeza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Ilianza simu kuondoa antena, tundu la jack port 3.5 mm na sasa, huenda mfumo wa kuchaji kwa waya ukafuata.
Maoni mchanganyiko yameibuka baada ya Serikali kutangaza kuanzisha tahasusi (combination) mpya tano ikiwemo ya masomo ya Kiswahili, French, Chinese (KFC) kwa wanafunzi wa kidato cha tano.
Serikali imetangaza utaratibu mpya kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2020 kubadilisha tahasusi za kidato cha tano na kozi za vyuo vya elimu ya ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa kieletroniki wa uchaguzi wa kidato cha tano na vyuo mwaka 2021.
Gazeti hilo limezushiwa kusitisha uchapishaji kutokana na waandishi wake watatu kukutwa na Corona.
Kubaini aina hiyo ya bahari inayopotosha tazama kwa makini picha, kichwa cha habari kwa sababu mara nyingi hukosa uhalisia.
Kwa sasa chanjo inayoongoza kutumiwa zaidi na nchi mbalimbali duniani ni Pfizer/BoiNTech na Oxford/AstraZenaca
Inaweza kuwa ni kwa njia ya zawadi, kuwajulisha pale bidhaa na huduma mpya zinapoanzishwa au kutoa bidhaa na huduma bora kila siku.
Rais asema ripoti ya CAG imebaini uwepo wa ubadhirifu wa Sh3.6 bilioni na kwamba bosi wa mamlaka hiyo anapaswa kusimamishwa kupisha uchunguzi.
CAG Charles Kichere amebaini pia kwa miaka mitano shirika hilo lilikuwa likipata hasara.
Kwa lolote unalofanya, tafadhali chukua kikombe cha maji na kisha vuta kiti uketi kwa kuwa ninayokuambia ni ya kutilia maanani.
Inashauriwa kumpatia chumba cha peke yake huku wanafamilia wengine wakichukua tahadhari.
Kiongozi huyo alifariki Machi 17 mwaka huu katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya maradhi ya moyo.
Mkuu huyo wa majeshi ya ulinzi na usalama amesema vyombo vya ulinzi na usalama vitaendelea kumlinda Rais na kumtii kama Amiri Jeshi Mkuu na kutekeleza majukumu yake kama ilivyoianishwa katika katiba.
Viongozi na waombolezaji mbalimbali leo wanashiriki shughuli ya maziko ya Hayati Rais John Magufuli.