Ipi itakufaa: Mchuano wa saa janja OnePlus, Apple, Samsung unavyoweka watumiaji njiapanda
Saa janja ni zaidi kukusaidia kutazama muda. Hata hivyo, zimetofautiana uwezo na bei…ipi ina kufaa?
Saa janja ni zaidi kukusaidia kutazama muda. Hata hivyo, zimetofautiana uwezo na bei…ipi ina kufaa?
Iwapo hautafuata vema masharti ya uvaaji barakoa ikiwemo kufua mara kwa mara zile za vitambaa upo hatarini kupata virusi vya corona.
Uchambuzi wa awali uliofanywa na Nukta Habari umebaini kuwa huduma hiyo mpya inapunguza hatari ya kutuma zaidi kiwango cha “ya kutolea” ama kutuma kiasi pungufu na kinachotakiwa.
Uhalisia wa rangi za picha ni kati ya vitu wanavyojivunia katika kamera ya simu hizo hata hivyo haina sehemu ya ‘earphone’.
Mwenyekiti wa machinga mkoani Mwanza amesema awali walipanga kuadhimisha ‘Machinga Day’ kila mwaka lakini wamebadili baada ya kifo cha Rais John Magufuli.
Mchakamchaka wa wananchi walioamua kusindikiza mwili wa Hayati Rais Magufuli ni mkubwa kiasi cha kutokuweza kuona mwisho wake.
Picha za awali zilizopo zinaonyesha simu hiyo haitakuwa na utofauti mkubwa na matoleo yaliyopita licha ya kuwa na mategemeo makubwa kwenye kamera.
Mkuu wa mkoa asema wanaweza kukaa nyumbani na kufuatilia kwenye runinga ili kuwaepusha na madhira ya msongamano
Ni aliyekosea kutafsiri sehemu ya hotuba ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa wakati wa kuaga mwili wa hayati Magufuli jijini Dodoma.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema anamfahamu binafsi hayati Rais John Magufuli kama kiongozi mchapakazi, mfuatiliaji, mnyenyekevu, mwalimu na aliyekuwa na maono makubwa ya kuboresha maisha ya Watanzania.
Rais wa sita wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwa wale ambao wana mashaka kuwa anaweza kuwa rais, wafahamu kuwa yeye ni Rais mwenye maumbile ya mwanamke.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema sasa mwili wa Hayati Rais Magufuli utazungushwa uwanjani na mitaani badala ya kila mwananchi kupita mbele ya jeneza.
Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli unaagwa leo na viongozi, wabunge na wananchi wa Jiji la Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amewataka wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kumuaga Hayati Rais Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba Machi 24 mwaka huu.
Tangu kuingia kwa Hayati Rais Magufuli mwaka 2015 alifanya mambo mbalimbali kukuza utalii ikiwemo kuongeza mazao ya utalii na kuboresha miundombinu .
Mwili utaanza kuagwa Dar es Salaam kwa siku mbili, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na kisha Geita.
Wakazi wa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dar es Salaam wamejitokeza katika barabara ambapo mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli ulipopita kuelekea katika uwanja wa Uhuru.
Leo Machi 20, 2021 mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli unaagwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Baadhi yao wamesema wanapenda kuona anaivusha Tanzania kiuchumi na kisiasa ili kupata maendeleo.
Ni ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja, kiwanja cha ndege na meli ambayo imerahisisha shughuli za biashara na usafirishaji kwa wakazi wa jiji hilo.