Samia: Ni wakati wa kutazama mbele kwa matumaini na kujiamini
Amewataka Watanzania kujenga umoja, kuzika, tofauti zao na kuwa na matumaini wakati Serikali ikitafuta namna ya kuwekana sawa kuhusu mambo muhimu ya Taifa.
Amewataka Watanzania kujenga umoja, kuzika, tofauti zao na kuwa na matumaini wakati Serikali ikitafuta namna ya kuwekana sawa kuhusu mambo muhimu ya Taifa.
Mwili wa Hayati Dk John Magufuli unatarajiwa kupumzishwa katika nyumba yake ya milele wilayani Chato katika Mkoa wa Geita Machi 25 mwaka huu.
Samia Suluhu Hassan ameapa rasmi na kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa ndiyo mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Samia Suluhu Hassan ameapa rasmi na kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa ndiyo mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Wamesema aliwapa uhuru wa kuendesha biashara zao bila kusumbuliwa na aliwasaidia kupata vitambulisho vya ujasiriamali.
Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbasi amesema Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kulihutubia Taifa Ijumaa ya Machi 19 kuhusu taratibu na ratiba nzima ya mazishi ya hayati Dk John Magufuli.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewataka wakazi wa mkoa huo kujitokeza katika ibada maalum ya kumuombea Hayati Rais John Magufuli itakayofanyika katika uwanja wa Sokoine kesho Machi 19, 2021.
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya wamemuelezea Hayati Rais Magufuli kwa namna tofauti ili kuenzi utumishi wake kwa umma ikiwemo uzalendo kwa nchi yake.
Viongozi mbalimbali duniani na jumuiya za kimataifa zimetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Wengine wasema atakumbukwa kwa kupigania maslahi ya wanyonge hata kwa kuweka afya yake matatani.
Iliongea hadharani Februari 26, 2021 wakati wa uzinduzi wa majengo ya Chuo Cha Polisi kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Alikuwa amelazwa katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Huenda wakulima machungwa Tanzania wakafaidika zaidi kimapato baada ya Serikali kuhimiza ujenzi wa viwanda vitakavyosindika zao hilo linalolimwa zaidi katika mikoa ya Mashariki mwaka Tanzania ukiwemo Tanga.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe ametoa onyo kali kwa wawekezaji wa viwanda nchini wanaowabagua na kutokuwatumia kikamilifu wataalamu wa ndani ya nchi katika shughuli zao
Ni pamoja na kukosa motisha wanapokuwa shuleni na kutokutambulishwa katika ulimwengu wa teknolojia wakiwa watoto.
Maswali hayo ni pamoja na picha hiyo inahusu nini? Nani ametengeneza? Inamaanisha nini?
Kisa cha kwanza cha mgonjwa wa Corona nchini kilithibitishwa Machi 16, 2020 ambapo mgonjwa huyo alikuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 46.
Aina hizo ni “misinformation”, “disinformation” na “malinformation”. Habari hizo zote hutumiwa kwa malengo tofauti ili kuzidisha athari za Corona.
Katika pepo hiyo, tarajia maji safi ya kutosha kuakisi miale ya jua, hali ya hewa ya kusahaulisha changamoto za dunia na ukimywa ufaao kufikiria maisha.
Njia za kujihadhari na ugonjwa huo zimetajwa zikiwa ni pamoja na kupunguza ulaji wa nyama na mayai kwa wingi.