Mikopo kwa sekta binafsi yapungua Tanzania
Imepungua hadi wastani wa asilimia 6.2 katika mwaka ulioishia Januari 2021 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 6.6 katika kipindi kama hicho mwaka 2020.
Imepungua hadi wastani wa asilimia 6.2 katika mwaka ulioishia Januari 2021 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 6.6 katika kipindi kama hicho mwaka 2020.
Ni familia inayoongozwa na Amina Kalazi (60) mkazi wa kijiji cha Igayaza wilayani Muleba ambayo imekumbwa na ugonjwa uliofanya watu saba wa familia yake kukatwa miguu.
Salamu za Rais Magufuli kupitia kwa Mama Samia zinakuja wakati kukiwa na mjadala hasa kwenye mitandao ya kijamii kutokana na baadhi ya watu vikiwemo vyama vya upinzani kuhoji kuhusu afya na alipo Rais John Magufuli.
Wakulima wa mahindi nchini Tanzania wamepoteza zaidi ya Sh30,000 kwa kila gunia la kilo 100 ndani ya mwaka mmoja uliopita, huku bei ya zao hilo la chakula ikishuka kidogo mfululizo kwa miezi miwili iliyopita.
Ni pamoja na kuhakikisha sehemu zako za siri zinakuwa kavu mara zote.
Serikali imeitaka kamati elekezi inayosimamia mradi wa shamba miwa la Mkulazi lilipo mkoani Morogoro kuanza haraka ujenzi wa barabara na kupeleka umeme katika eneo la Mkulazi litakalojengwa kiwanda cha sukari ili kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo nchini Tanza
Mtumiaji atatakiwa kuthibitisha akaunti yake kwa njia ya anuani ya barua pepe ambapo atatumiwa neno siri la kuthibitisha.
Idadi watu waliopata virusi vya Corona barani Afrika imefikia wagonjwa milioni 4 ambapo kati ya hao 107,001 sawa na asilimia 2.7 wamefariki dunia.
Kompyuta hizo, hutofautiana kuanzia mifumo endeshi, utendaji kazi na hata miundo yake.
Muda ni kitu cha thamani alichopewa mwanadamu kuliko vitu vyote duniani. Mambo yote yamefungwa ndani ya muda unaotumia kila siku.
Imesema itawekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji na uzalishaji wa miche bora ili zao la chai lilimwe kwenye maeneo mbalimbali Tanzania.
Amewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaosambaza taarifa za chuki na uongo kuhusu afya ya Rais John Magufuli.
Serikali imesema inakamilisha utafiti wa kubaini visababishi vya kiwango cha chini cha ulipaji kodi kwa wakati na hiari hasa kwa wafanyabiashara wadogo Tanzania.
Ni filamu inayomhusu mfalme anayepaswa kwenda kinyume na mila na desturi zilizowekwa na watangulizi wake.
Vijana wanatakiwa kuelewa kuwa mafanikio ni mchakato na siyo kushinda mchezo wa bahati na sibu.
Ni nyumba tatu kati ya nyumba 43 zilizopo kando ya Ziwa Victoria katika mtaa wa Ziwa jijini Mwanza kuzingilwa na maji baada ya mvua kubwa iliyoinyesha mwaka 2020.
Watu watakiwa kupata taarifa za chanjo ya Corona kutoka vyanzo vya kuaminika.
Umoja wa Mataifa kupitia kituo chake cha biashara (ITC) umejibu ombi la wanawake wajasiriamali hao wa Kigoma kwa kuwapatia mashine ya kisasa ya kukamua mawese na hivyo kupunguza muda wa kukamua mafuta hayo kutoka saa nane hadi mbili bali.
Aagiza minada ifanyike katika kanda zinazolisha zao hilo na siyo nje ya nchi ili kuwanufaisha wakulima.
Ni pamoja na kuendeleza tabia za kujikinga na corona hata mnapokuwa nyumbani ikiwemo kuvaa barakoa na kunawa mikono.