Zingatia haya unapotumia barakoa ya kitambaa
Ni pamoja na kuwa makini na kitambaa kilichotumika pamoja na kupata barakoa inayofunika kwa ufanisi sehemu ya mdomo na pua.
Ni pamoja na kuwa makini na kitambaa kilichotumika pamoja na kupata barakoa inayofunika kwa ufanisi sehemu ya mdomo na pua.
Hiyo itasaidia kizazi cha sasa na kijacho kufahamu kwa undani historia ya Tanzania.
Ni pamoja na kupanda miti na kuhifadhi vitu kwa unadhifu.
Amesema amepokea taarifa za kuteuliwa katika nafasi hiyo kwenye mitandao ya kijamii huku akiomba Watanzania wamwombee atimize matakwa ya kazi mpya kwa uadilifu.
Ni miradi inayosimamiwa na kampuni tanzu ya Shirika la umeme Tanzania ya ETDCO. Ilianza kutekelezwa mwaka 2018 katika vijiji 130 lakini mpaka sasa haijakamilika.
Rais wa Tanzania, John Magufuli amechukizwa na kitendo cha wastaafu wa Jeshi la Polisi kucheleweshewa mafao yao licha kuwa fedha zao zipo, huku akiibebesha lawama Wizara ya Mambo ya Ndani na kuitaka aishughulikie suala hilo haraka.
Ni filamu inayomhusu binti Lara Jean ambaye malengo ya kuishi na mpenzi wake katika kipindi cha masomo ya chuo.
Ni sehemu ya Sh19 bilioni za mkopo iliyokopa benki ya CRDB ili kulipafidia kwa wananchi waliochukuliwa maeneo yao.
Mtandao huo ulianzishwa mwaka 2009 na mwaka 2014 ulinunuliwa na kampuni ya Facebook ambapo umekuwa kiungo muhimu cha mawasiliano duniani.
Ni kutokuwashutumu walioambukizwa ugonjwa huo bali kuwahimiza kuchukua tahadhari na kuwaaminisha kuwa watapona.
Utasaidia kuzifikia hifadhi za Taifa katika ukanda huo kwa urahisi. Pia utasaidia kuongeza watalii wa nje ambao idadi yao imepungua.
Amesema vinatakiwa kutanguliza mbele uzalendo kwa Taifa na kuepuka habari za uzushi.
Ghana imekuwa nchi ya kwanza duniani na barani Afrika kupokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona chini ya programu maalum ya COVAX inayosimamiwa na Umoja wa Mataifa (UN).
Ni vijana wa mkoani Arusha ambao wanatumia teknolojia ya aina yake ili kupunguza tatizo la uharibifu wa mazingira na ukosefu wa ajira kwa vijana.
Ili kupunguza gharama za uendeshaji na zisizo za lazima, Serikali imesema ina mpango wa kuvunja Jiji la Dar es Salaam na kuchagua manispaa moja katika jiji hilo itakayopandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Licha ya kuwa wapo waliofanikiwa kupata wenzi wao kwa njia ya mitandao ya kijamii, bado baadhi ya wadau wanasita kuona hilo linawezekana.
Wapo watu ambao wanatumia simu za mkononi kinyume na maelekezo yaliyotolewa na watengenezaji na hivyo kusababisha simu kuharibika mapema.
Wakala wa Ufundi na Umeme umeanza kusimika taa za barabarani jijini humo. Taa hizo zitasaidia kuongoza magari na umakini wa madereva wanapofika kwenye makutano ya barabara.
Ndoto hazifikiwi kwa kukaa na kuzisubiri zitimie kwani zitahitaji jitihada, nguvu na subira ili kuzitimiza.
Njia mojawapo ya kujikinga na magonjwa yanayoambukiza ikiwemo Corona ni kunawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni.