WhatsApp kuzima mawasiliano kwa wasiokubaliana na sera mpya
Ni sera mpya ya faragha ambayo kwa sehemu itashirikisha taarifa zao binafsi na mtandao wa Facebook.
Ni sera mpya ya faragha ambayo kwa sehemu itashirikisha taarifa zao binafsi na mtandao wa Facebook.
Ugonjwa huo husababishwa na tishu za tonsils kuzidiwa na bakteria au virusi.
Ni makundi ya nzige wa jangwani waliovamia mashamba ya wakulima na malisho ya mifugo katika Wilaya za Simanjiro na Longido.
Ni sera ya faragha ambayo imeibua mjadala mpana duni kuhusu usiri wa taarifa za watumiaji wake.
Ni baada ya kujiondoa mwaka jana chini ya utawala wa Rais mstaafu Donald Trump.
Ni pamoja na kuongea na watoto na kuwanunulia mahitaji muhimu ya kujikinga na Corona
Rais John Magufuli amewataka kuepuka hofu na kutishana kuhusu vifo vinavyotokea nchini na kuwataka kushikamana na kumtegemea Mungu pale nchi inapopitia changamoto ikiwemo magonjwa ya aina mbalimbali.
Inamhusu kamanda aliyepoteza kikosi chake chote baada ya kuuliwa na wanyama asiowajua.
Kama umeshakutana na taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa Whatsapp juu Serikali ya Tanzania kuamuru wafanyakazi na wanafunzi kukaa nyumbani ili kujikinga na Corona, fahamu kuwa huo ni uzushi.
Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif umepumzishwa kijijini Mtambwe kwake Pemba.
Watakiwa kulima mazao yanayostahimili mvua kuwa ili kuongeza uzalishaji katika msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mwaka huu.
Atazikwa Jumamosi Februari 20, 2021 Korogwe, Tanga huku viongozi mbalimbali wakimlilia kwa utumishi uliotukuka.
Ibada ya sala ya kumuombea marehemu iliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja mchana wa leo Februari 18, 2020 imehudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Zanzibar wa rika zote wakiongozwa na Rais Hussein Mwinyi.
Mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad unatarajia kupumzishwa leo Februari 18, 2021 katika kijiji cha Mtambwe kisiwani Pemba, ikiwa ni siku moja tangu kutangazwa kwa kifo chake.
Ni pamoja na kuuziwa bidhaa feki kwa bei kubwa na kupata kitu tofauti na picha uliyoiona.
Rais John Magufuli ametangaza siku tatu za maombolezo za kifo hicho huku viongozi mbalimbali wakimlilia kiongozi huyo mashuhuri Tanzania.
Ni pamoja na kufahamu uwezo wa chaja hiyo kupokea na kuchaji simu yako.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki dunia leo Februari 17, 2021 jijini Dar es Salaam
App hiyo inayojulikana kwa jina la ‘Hisa Kiganjani’ imeanzishwa kwa lengo la kurahisisha shughuli za uwekezaji zinazochangamana na soko la hisa.
Nipamoja na kuwa na taarifa sahihi juu ya bidhaa inayofaa kukukinga dhidi ya Corona.