Simulizi ya wananchi wanaopambana kuokoa maisha Geita
Ni wakazi wa Bunigonzi wilayani Mbogwe ambao wamekamilisha ujenzi wa boma la kituo cha afya huku wakisubiri Serikali ikamilishe hatua iliyobaki ili kianze kutoa huduma kwa wananchi.
Ni wakazi wa Bunigonzi wilayani Mbogwe ambao wamekamilisha ujenzi wa boma la kituo cha afya huku wakisubiri Serikali ikamilishe hatua iliyobaki ili kianze kutoa huduma kwa wananchi.
Ni shule ya Dareda ya mkoani Manyara iliyoshika nafasi ya tatu kitaifa na kufanya vizuri katika masomo ya lugha na sanaa.
Huenda wanafunzi walioanza kusoma katika Shule ya Sekondari ya Isebya mkoani Geita wakasubiri zaidi kuboreshewa huduma za elimu baada ya kuandamwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa ruzuku ya Serikali.
Wasema zimeshusha mzunguko wa fedha na zitawafanya watu kutunza fedha ndani jambo ambalo ni hatari.
Ni chanjo inayotengenezwa Marekani na hutolewa dozi moja tu kwa mtu anayepatiwa.
Madaktari wasema kuna umuhimu kuongeza uelewa wa umma juu ya uhusiano kati ya unywaji pombe na hatari ya kupata saratani.
Wakati Serikali ikiendelea na ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza, imeanza mchakato wa ununuzi wa vichwa na jozi za treni za umeme ambazo zitapita katika reli hiyo itakapokamilika.
Ni wakazi wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wanajenga madarasa katika Shule ya Sekondari Masumbwe kumaliza msongamano wa wanafunzi madarasani.
Wamesema kitabu cha historia ya Tanzania hakiwezi kukamilika bila kuwepo sura nzima itakayomwelezea Hayati Rais Benjamin Mkapa kutokana na sifa mbalimbali za uongozi alizokuwa nazo.
imesema kutumia chanjo ya Corona zaidi ya moja na kueleza kuwa tabia hiyo inaweza kuwa na madhara kwa watu hao na pia kwa nchi zao.
Ni wakazi wa Wilaya ya Mbogwe ambao wamepata mwamko wa kuhoji, kufuatilia kwa ukaribu mapato ya miradi ya maendeleo na kuchagua viongozi wenye weledi na uadilifu.
Ni mmoja wa mafundi wachache wanaoendelea kushona barakoa katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji licha ya mwamko mdogo wa watu kuvaa barakoa.
Amezushiwa kuwa amesema chanjo ina madhara na waliopata watakufa baada ya miaka miwili katika mahojiano yake aliyofanya na kipindi cha televisheni cha France 24.
muwasho huo husababishwa na mzio wa chakula au maambukizi yanayotokana na bakteria au virusi.
Ni wanawake wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita waliokataa kuwa nyuma kama mkia wa kondoo. Wanakamatia kila fursa ya kuwatoa kimaendeleo.
wafanyabiashara jiji humu wamesema kuungua kwa soko hilo kumewaachia funzo kubwa hasa umuhimu wa kukata bima kwa ajili ya biashara zao.
Wadau wasema huenda kushuka kwa ufaulu kumechangiwa na ufundishwaji wa somo hilo kwa nadharia badala ya vitendo.
Hofu hiyo inasababishwa na kusambaa kwa habari zisizo za ukeli juu ya chanjo za Corona zinazozua taharuki miongoni mwa watu.
Ni kivuko kilichopo kijiji cha Ilunda wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza ambacho hakina huduma muhimu.
Ni wakazi wa kata ya Bunigonzi wilayani Mbogwe ambao wamejenga shule ya sekondari hadi usawa wa lenta wanaisubiri Serikali imalizie sehemu iliyobaki ili ianze kufanya kazi.