Kwanini tatizo la kupoteza kumbukumbu linawakumba vijana?
Baadhi ya tabia walizo nazo vijana ndiyo sababu ya wao kukutwa na changamoto hii.
Baadhi ya tabia walizo nazo vijana ndiyo sababu ya wao kukutwa na changamoto hii.
Nakukumbusha juu ya kuijali afya yako utakapoanza mwaka mpya kwa kufanya mazoezi, kula vizuri, pima afya kila inapobidi na fuata maelekezo ya daktari.
Ni pamoja na kujijengea tabia ya uthubutu wa kufanya kitu bila kuogopa macho na maneno ya watu.
Pata muda mzuri wa kuusoma na kuelewa vipengele vyote vya mkataba.
Inamhusu Diana ambaye ni mwanadada anayenuwia kuukomboa ulimwengu kutoka kwa watu wabaya.
Asema wadukuzi ni wengi na faragha za wajazaji fomu zinaweza kupotea.
Waeleza Corona ilivyoathiri biashara na mahusiano kwenye familia.
Wametumia picha alipoenda kupata chanjo ya mafua Septemba 28, 2020.
Ni pamoja na kufanya mazoezi binafsi bila haja ya kuambatana na watu wengine.
Wanunulie vitu vitavyowasaidia kupunguza changamoto za maisha.
Hata baada ya mwaka 2020 kutokuwa wa mafanikio kwako, 2021 unaweza kuwa na matumaini.
Zitakusaidia kuepukana na madhara ya kiafya na kiuchumi yanayyoambatana na kutokukisafisha choo cha nyumbani kwako.
Baadhi ya watu wametoa maoni mseto kuhusu njia sahihi ya kusheherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ikiwemo kutoka ‘out’.
Habari hizo ni zile ambazo hazina ukweli wowote.
Ni kuzingatia tahadhari zinazotolewa na wataalam wa afya.
Habari hizo huja katika mfumo wa muktadha wa uongo (false context)
Ni madai kuwa “mgonjwa wa Corona aliyepata chanjo kaanza kutafuna wagonjwa wengine”
Ni Bandari ya Kagunga iliyopo Wilaya ya Kigoma ambayo ni kiungo cha biashara na usafirishaji mizigo.
Ni dawa aina ya Covifor inayotumika kutuliza dalili za wagonjwa wa COVID-19.
Hakikisha una taarifa muhimu kuhusu nguo unayonunua mtandaoni kutoka kwenye duka linaloaminika.