Jinsi ya kuzungumza na watu wasiotaka chanjo ya Corona
Hatua ya kwanza ni kukubali mashaka na hofu waliyonayo kuhusu mstakabali wa maisha yao baada ya kutumia chanjo.
Hatua ya kwanza ni kukubali mashaka na hofu waliyonayo kuhusu mstakabali wa maisha yao baada ya kutumia chanjo.
Utengenezaji wake hupitia hatua sita kabla ya kuanza kupelekwa kwa umma.
Mpaka sasa haijulikani sababu ya huduma hizo kutopatikana.
Ni pamoja na kufanya mazoezi walau mara tatu kwa wiki. Pia kuwa mwangalifu na chakula na vinywaji unavyotumia kila siku.
Ni Naibu Waziri mpya wa Madini Prof Shukrani Manya aliyeteuliwa leo, amtaka kutumia taaluma yake kuikuza sekta ya madini.
WHO bado haijathibitisha dawa yoyote itakayotumika kama tiba dhidi ya virusi vya Corona.
Ni filamu inayohusu mahusiano ya mwanadada Molly ambaye ameamua kuingia katika mahusiano mapya
Ni pamoja na kufahamu aina ya ngozi yako ili ufahamu bidhaa zinazokufaa kwa matumizi ya kichwani.
Unaunganisha mashirika 13 ya kimataifa na makundi ya uthibitishaji habari yanayojihusisha na takwimu, utafiti, afya ya kidijitali na mawasiliano.
Madai hayo hayana ukweli wowote kwa sababu wataalam wa afya hawajathibitisha.
Ni pamoja na kuosha vyakula kwa maji safi na salama.
Ni Sergio Chekaloff ambaye anaishi Hispania baada ya kupewa hadhi ya kutokuwa na utaifa.
Umeshuka hadi asilimia 3 kwa mwaka ulioishia Novemba 2020 kutoka asilimia 3.1 iliyorekodiwa Oktoba mwaka huu.
Ni pamoja na kupunguza ulaji wa vyakula vilivyo na protini nyingi na kunywa maji kwa wingi
Ni pamoja na kukomaza ugonjwa kwani kumeza dawa bila maelekezo ya daktari kunazuia dalili na siyo kutibu ugonjwa.
Hadi jana Desemba 4, 2020 bara hilo limeripoti visa milioni 2.3.
Ukiipata habari hiyo ipuuze au soma kwa makini kabla ya kuchukua maamuzi.
Usiache kuipenda afya yako ya akili. Jiepushe na msongo usio wa lazima. Usijiweke upweke na usiruhusu kuishi na vitu vingi akilini mwako. Fanya kila kitu kwa hatua.
Android ni mfumo endeshi unaotumika kwenye simu za mkononi zikiwemo Techno Samsung, Infinix na HTC
Unashauriwa kuendelea kuchukua tahari ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara.