Madhara yatakayokupata usipotibu ugonjwa mapema
Ni pamoja na kutumia gharama kubwa za matibabu na kufariki dunia.
Ni pamoja na kutumia gharama kubwa za matibabu na kufariki dunia.
Hero Boy aliyefiwa na wazazi wake, anabadilishwa kuwa panyana kundi la wachawi ikiwa ni mpango wa kusogeza karibu na umauti.
Watoa huduma za chakula wanatakiwa kuimarisha usafi maeneo yao.
Waiomba kuharakisha mchakato wa kuundwa kwake ili kulinda maslahi yao.
Serikali zatakiwa kuchukua hatua za haraka kuwanusuru watoto hao.
Elimu na majadiliano yatasaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya ukatili wa kijinsia kwenye jamii.
Amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria.
Ni pamoja na kutokutuma habari unayoipata bila kuithibitisha
Mafunzo hayo yatawasaidia wanahabari hao kuwa mabalozi dhidi ya habari za uzushi.
Kinyume chake, unashauriwa kula kwa wingi matunda na mboga mboga.
Ni pamoja na nyumbani, ofisini na katika vyombo vya usafiri
Kupitia teknolojia unaweza kupata habari za zamani ambazo tovuti ilifutwa.
Ni pamoja na kufanya utafiti kujua hali ya maambkizi katika nchi unayotaka kwenda.
Kuharibika kwa ujauzito husababishwa na vitu mbalimbali ikiwemo matatizo katika maumbile ya mfuko wa uzazi.
Itatumia ardhi ya JKT kuzalisha mbegu hizo ili kutosheleza mahitaji ya wakulima.
Ni waliohusika na vitendo vya udanganyifu wakati wa mtihani.
Jiji hilo limeibuka kinara katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2020 baada ya kufanikiwa kupata ufaulu wa asilimia 93.5
Kati ya shule 10 bora mwaka huu, nane zinatokea Kanda ya Ziwa.
Umeongezeka kutoka asilimia 81.5 mwaka 2019 hadi asilimia 82.68 mwaka huu.
Msichana kutoka Graiyaki awatakisa wavulana baada ya kuongoza kitaifa.