NECTA yatangaza matokeo darasa la saba 2020
Matokeo hayo yametangazwa leo Novemba 21, 2020 na tayari yameshapakiwa katika tovuti ya baraza hilo www.necta.go.tz.
Matokeo hayo yametangazwa leo Novemba 21, 2020 na tayari yameshapakiwa katika tovuti ya baraza hilo www.necta.go.tz.
Filters ni teknolojia inayomuwezesha mtumiaji kuhariri picha ama video zake kwa kuweka vikolombwezo kibao.
Mtandao huo ukigindua taarifa ni ya uongo unazuia usisambazwe kwa watu
Aagiza uchunguzi ufanyike juu ya suala hilo kwa sababu kuna viashiria vya utendekaji wa makosa ya jinai yanayohujumu Serikali.
WHO yasema virusi vya COVID-19 ni vipya na vinahitaji chanjo yake.
Katika kipindi hicho cha usimamizi kilichoanzia leo (Novemba 19, 2020), amesema benki hiyo itafungwa na haitatoa huduma yeyote kwa wateja mpaka pale BoT itakapotoa maelekezo.
Baadhi ya watu wanasema siyo sahihi kuwahusisha mapacha na mikosi kwa sababu watoto wote ni baraka kutoka kwa Mungu.
Ni kuzingatia miongozo ya afya ikiwemo kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa maji mara kwa mara.
Shindano hilo linalenga kuongeza fursa za ajira kwa vijana na wanawake wajasiriamali Tanzania.
Ni Rodgers George ambaye ameibuka mshindi wa tatu katika tuzo za mwandishi bora wa kitakwimu zinatolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Njia pekee ya kudhibiti maambukizi ni kwa kunawa mikono kwa maji safi tiririka, kuvaa barakoa na kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazima
Gharama za tambiko ikiwemo chakula, zawadi kwa mtemi vyote huwa juu ya anayefanyiwa tambiko huku
baadhi ya watu hushindwa kumudu gharama hizo.
Idadi hiyo inakamilisha orodha ya wanafunzi 52,473 wa mwaka wa kwanza ambao wamepangiwa mikopo hadi sasa.
Kuanzia Julai 2021 wakulima wataanza kuuza tani milioni 1 za mahindi kwa kampuni ya Smart Group ya Misri.
Ugonjwa huo umeua watu zaidi ya milioni 1.3.
Matambiko kwa ajili ya kuondoa “mikosi” hutegemea aina ya watoto mapacha waliozaliwa.
Ni ile inayohifadhiwa katika Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ambayo imefikia tani 109,733 kwa mwaka ulioishia Septemba 2020.
Baadhi ya watu katika kabila la wasukuma wanaamini watoto mapacha wanashikilia hatma ya familia na wasipofanyiwa tambiko husababisha laana.
Serikali imesema ina imarisha sera za jumla za uchumi na fedha ili kufikia azma hiyo kwa kutengeneza mazingira mazuri ya ufanyaji wa biashara.
Wapo watu wanaopata ugonjwa huo pasipo kuonyesha dalili zozote.