Startups nane za Tanzania kuchuana kuingia shindano la dunia la Seedstars
Shindano hilo ni mahususi kwa startups zinazotatua changamoto za jamii kwa kutumia teknolojia rahisi.
Shindano hilo ni mahususi kwa startups zinazotatua changamoto za jamii kwa kutumia teknolojia rahisi.
Ni katika filamu ya “Freaky” inayomuhusu aliye na marafiki wawili tu shuleni anayewindwa na jambazi.
Ni uteuzi wa kwanza kabisa katika baraza la mawaziri jipya katika kipindi cha muhula wa pili wa uongozi wake.
Ni mfumo wa “Flattening the curve” ambao mtu mmoja ana uwezo wa kuokoa mamia ya watu dhidi ya athari za habari za uzushi.
Kuisafisha, unahitaji kitambaa na dawa maalumu.
Ripoti ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Oktoba 2020 inaeleza kuwa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa na huduma ilibaki asilimia 3.1 kama ilivyokuwa Septemba 2020.
Ni mafunzo yanayofanyika kwa njia ya mtandao yamezinduliwa leo na yatafanyika hadi Novemba 13, 2020.
Ni katika filamu ya “War With Grandpa” inayohusu mahusiano yanavyotengenezwa kati ya babu na mjukuu wake.
Kama mfuko wako hauruhusu kutoa fedha zaidi ya Sh1 milioni kununua simu yako ya mkononi, bado una nafasi ya kupata simu nzuri yenye vitu unavyovitaka kwa fedha uliyonayo.
Chagua siti na shirika la ndege lenye huduma za uhakika.
Inamhusu baba ambaye ana dhamira ya kuiokoa familia yake dhidi ya mvua ya vimondo inayoinyeshea dunia.
Wawataka Watanzania kudumisha amani na utulivu wakati wakitimiza haki yao ya kikatiba ya kuwachagua viongozi watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo
Ni pamoja na kuvaa sale za chama na kutumia lugha chafu kwa wasimamizi wa uchaguzi.
App hiyo inawawezesha wanawake kuongea na wataalamu wa afya kuhusu masuala ya uzazi wakati wowote.
Ni pamoja na kutumia maji ya baridi punde unapoanza kuvihisi vipele hivyo usoni kwako
Hata baada ya kuiba, Carter alifanikiwa kuukwepa mkono wa dola kwani hawakuweza kufahamu kama ni yeye ndiye anayehusika.
Pia inakusudia kuongeza ndege nyingine ili kusaidia zoezi la kuzima moto huo.
Ugumu huo unasababishwa na upepo mkali na kukauka kwa nyasi na vichaka.
Gharama za harusi hutofautiana kulingana na mila, uwezo wa kiuchumi na mtazamo wa jamii kuhusu ndoa.
Rais John Magufuli amesema fedha hizo zitatumika kuboresha huduma za jamii.